Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
- Thread starter
-
- #241
Mkuu hicho kitu binafsi nilishanyoosha mikono juu ila siyo kwa wali wa kawaida kwenye ugali ndo usiseme hata nikienda home naona sista zangu kama wanazinguaMkuu mimi kitu cha pilau hadi leo siiwezi kuikorofisha ikakaa poa...naishiaga kupika ya kawaida sana daaah
Acha utani mkuuKuna siku nilipika wali aise chini mbichi juu mbichi katikati ndo umeiva
Uyo jamaa yako kiboko kwa kweli mtu kama huyo sikubali anioe hata iweje...yaan hata chai hawezi?????Kuna jamaa yangu iliwahi mkuta geto anapiga bia na chapati asubuhi. Anadai kuchemsha chai hawezi.
Sasa unaoaje janamke lisilojua kupika.......kwetu maza mtoto akifika darasa la kwanza tu anaanza kufundishwa kupika ......mpk ss napika vyote kasoro chapati
Mwambie uyoHata Bil Gate anatumia iPhone ila sidhani kama analingana kiuwezo na watumiaje wengine wa simu hzo, usituharibie uzi wetu makapera
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ile Pilau niliyopika siku ile ya Ckrismass Mungu mwenyewe ananajua. Isingekuwa majirani kuokoa jahazi kwa kuleta kihotpot cha pilau makinikia nilikuwa naumbuka siku ile.
Mchele mpya unatoaga nishai sana, hauhitaji maji mengi
Kuna siku nilipika wali aise chini mbichi juu mbichi katikati ndo umeiva
Uyo jamaa yako kiboko kwa kweli mtu kama huyo sikubali anioe hata iweje...yaan hata chai hawezi?????
Sent using Jamii Forums mobile app