Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Kuishi getho kunaweza kufanya ukasahau kuwa kuna vyakula pia vinapikwa. Eti Birian, Vitumbua, sanbusa. Hayo madude sijawahi waza kabisa. Kuna wakati huwa natamani nikae iwani na whisky yangu na jiko langu la nyama choma. Ila sasa! Mungu mwenyewe ndo anajua.
 
Mkuu mimi kitu cha pilau hadi leo siiwezi kuikorofisha ikakaa poa...naishiaga kupika ya kawaida sana daaah
Mkuu hicho kitu binafsi nilishanyoosha mikono juu ila siyo kwa wali wa kawaida kwenye ugali ndo usiseme hata nikienda home naona sista zangu kama wanazingua
 
Dah jana tu night nilikorofisha chips na samaki wa kukaanga
Hapa najiandaa tu nkanunue vitumbua vyamotomoto nije nkaange na maya kwa Tea la Milk
[emoji1321]
 
Mimi kukaanga yai lile la vagara naweza. Ila niseme nilitoe lililokamilika ni shiida. Yaan kuligeuza juu chini ni mtihani sana. Lazima lilojoke.
 
Mimi siwezi pika Ugali wa unga wa mahogo na vyakula vya pwani.
 
makande

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Ile Pilau niliyopika siku ile ya Ckrismass Mungu mwenyewe ananajua. Isingekuwa majirani kuokoa jahazi kwa kuleta kihotpot cha pilau makinikia nilikuwa naumbuka siku ile.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchele mpya unatoaga nishai sana, hauhitaji maji mengi

Ukishajua huu ni mchele mpya ajast maji tu
Daah mimi sijisifu namshkuru mungu wali ni dakika 15 hadi 18 unakua tayari kwa kupikia ktk gesi
Lkn kiuhalisia kabxaaa nikipika kwa kutumia jiko lamkaa half nifunikie mkaa juu na mkaa chini hapo lawama lazma kwa majirani wanavoumia kwa harufu utaonukia[emoji3]
Tatizo lake tu inanichkua mda kuanza kuasha mikaa
 
Kuna siku nilipika wali aise chini mbichi juu mbichi katikati ndo umeiva

Mkuu wali unataka timing ya moto tu
Pale ushachemsha maji na takacheemka ukiweka mchele acha uive maji takianza kuaukia tu hapo hapo punguza moto kabxaaa half funikia kwa mfuko wa rambo tu huku ukiiva kwa moto mdooogo
Vizuri ikiwa unauchungulia kila baada ya dakika 6 ivi unaugeuza hapo mambo yanakua bomba[emoji3]
 
Back
Top Bottom