Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
- Thread starter
- #241
Kuishi getho kunaweza kufanya ukasahau kuwa kuna vyakula pia vinapikwa. Eti Birian, Vitumbua, sanbusa. Hayo madude sijawahi waza kabisa. Kuna wakati huwa natamani nikae iwani na whisky yangu na jiko langu la nyama choma. Ila sasa! Mungu mwenyewe ndo anajua.