Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Watoto wa sister walipokwenda uni formular niliyowapa ni kikombe kimoja cha mchele vikombe viwili vya maji chumvi kijiko cha kulia mafuta, moto mdogo funika. Hapa kukosea labda iwe mchele mpyaWali ni kuupika ni mtihani mkuu, yaan tangu kuupanda kwenye majaruba hadi kuupika ni mtihani! [emoji36]
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app