Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Wali ni kuupika ni mtihani mkuu, yaan tangu kuupanda kwenye majaruba hadi kuupika ni mtihani! [emoji36]

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Watoto wa sister walipokwenda uni formular niliyowapa ni kikombe kimoja cha mchele vikombe viwili vya maji chumvi kijiko cha kulia mafuta, moto mdogo funika. Hapa kukosea labda iwe mchele mpya
 
Cjui kwann swala la
Makande limewashinda wengi yan wakat n kitu simple
Sana kushinda hata ugali

[Color= yellow]Triple A[/color]
Shida ya kande kumix mahindi na maharage au dengu na ziive kwa pamoja ndio MSALA!

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Ila ugali nao ni utata ukibug kidogo unakuta unatoa kitu kibichi au chenye mabonge ya unga unga

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
sio bachela, ila siwezi kupika mlenda, biriani, maboga, nsasa, matembele, dagaa..naona list ndefu!
 
Kitu ambacho mabachela wengi wanachokiweza ni kuchemsha chai ya rangi na kupika tambi tu.
Kataeni au mkubali.
% kubwa ya wanaomudu kupika baadhi ya vyakula ni aidha wale waliokulia kwa dada zao au walioondoka kwenda kuanza maisha wakiwa wametoka makwao (kwa wazazi wao) wakiwa 22-25+.
Waliobaki wote ni tambi na chai ya rangi tu
Hahahhha [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom