Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Ha haaaa poleeee
 
Vyote hata chai...mi nd9 mana nikihamiaga mtaa mpya natafuta kademu kakunipikia na kunifanyia usafi halafu mi nakalipa dudu...kuonya vyombo ni kazi ya kijinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. Hyo meza sidhan kama naikaliaga..fridge ina maji,juice,myonise nikija na mkate au chips yai nashushia na juice na maji aisee itabidi jiko lije fasta
Mkuu una bek3 nn? Mbona nyumba safi hiviii kama hakai bachelor?
 
Labda biriani kupika ndio tatizo..ila naipenda sana hasa siku za ijumaa kama leo kuna sehemu lazima nipitie mchana..nadhani Kwa waliokaa Tanga wananielewa..
 
Mkuu dah umeniotea santa lucia nazitandika sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…