Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ha haaaa poleeeeJana nimetulia zangu getoni, mara nje naskia mboga mboga! Roho ikafurahi nikasema ngoja leo nichemshe mboga mboga. Najikoki kutoka tuu naskia jamaa anakomaa..."Mbogaa mbooooga kina mama humo ndani" mbogaa mbogaa kina dada humo ndani "mbogamboooga mashangazi jamani!!! Kiukweli nilighairi pale pale.