Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Mm najua kusonga ugali tu mboga kupika na vyakula vingine sijui..

Niilishi na mshikaji yy alikua anajua kupika mboga ila ugali hawez sobga so tukawa tunagawana majukumu, yy mboga mm ugali..!
Mimi ugali kupika ni inshu mpaka leo nisipo pika mbichi basi ni mabonge mabonge full...
 
Vaykula vyote, isipokuwa maji ya kuoga na Chai.
 
Acha hizo man, utakuja kupika sumu bure.
 
ni rahisi sana kuandika hizi theory lakini ukiingia jikoni unaishia kuungua na kuharibu rasilimali i.e mchele, mafuta, gesi , muda nk
 
Wewe jamaa sio kwamba hujui kupika wali ila usichojua ni kukadiria maji.. tafuta mdada akuelekeze jinsi ya kukadiria.
 
Mbona mimi napika
 
Mimi ugali kupika ni inshu mpaka leo nisipo pika mbichi basi ni mabonge mabonge full...
Kama unapika wa mabonge mabonge, Basi uweke unakoroga uji kwanza, Halafu unachanganya na maji ya kusongea ugali jikoni, koroga vizuri mpaka yatakapochemka vizuri, punguza uji kidogo, tia unga wako, Acha upogome kwa kupanda juu, Anza kuusonga utakuwa si mgumu mlaini wastani na mtamu kinyama.
 
Huwa sipiki chapati kwa sababu kule kuzigeuza geuza na kutia kidogo mafuta huwa naona napoteza muda tu.
 
Na chakula ukpka mwanaume ukikila unakiona tu cha kawaida lakn kikipkwa na mdada ni balaaaaaaaaaa
Ni kawaida kwa mpishi yeyote, Hilo humtokea pale anapopika akaivisha sasa ktk kuonja huwa anahisi chakula alichopika si kitamu au hakina ladha, Lakini ukimuonjesha jirani au mtu ambaye hajakipika atasema KIKO VIZURI SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…