mama klareee
Member
- Jul 19, 2017
- 26
- 138
Mwanaume Kwanza hapiki anaandaa.
Napika karibia kila chakula nachokijua. Hadi mikate naoka.
Cc mama klaree
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume Kwanza hapiki anaandaa.
Napika karibia kila chakula nachokijua. Hadi mikate naoka.
Cc mama klaree
Kuna kuumwa ....siku naweza umwa wiki nzima ndo tule kwa mamantilie?So siakikuoa wewe ndounakuwa unapika. Unataka mwanaume akupikie tena?!?
Kuna kuumwa ....siku naweza umwa wiki nzima ndo tule kwa mamantilie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikikupikia pilao naimani utabeba mwingine ktk mfuko wa rambo hadi hom[emoji23]nyote wapenda pilau karibuni tule![]()
hatari sana mkuuMkuu hicho kitu binafsi nilishanyoosha mikono juu ila siyo kwa wali wa kawaida kwenye ugali ndo usiseme hata nikienda home naona sista zangu kama wanazingua
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ai weewe! utaoa kwa sababu ya kufuliwa au kuoshewa vyombo tu? Si uajiri tu mjakazi?
Aiseee hongera sana....kama unamudu kupika vyote hivo.
Maana kuna wanawake wengine hivo unavyovipika hawaviwezi.
Nakumbuka mchaga wangu alinikaribisha nyumbani kwake alipika samaki wa nazi na wali wa basmat.
Ilibidi tule tu chipsi aisee
Nyanya chungu ziko kushoto, bamia limesambaa hujui mbegu zi kwapi, gamba la nje li kwapi, vitunguu vinapiga mbizi katikati ya nazi iliyojichuja, anasema alitia tui 3 kwa mpigo.
Nyanya zimesimama kama ziko sokoni.
Vitunguu swaumu anasema alivisaga na maganda yake.
Huo wali sasa...hahahhaha
alipikia kikombe kimoja cha maji maana alijua basmat inaiva haraka.
Anapakua chakula, chakula kinatuangalia macho makavu.
Aliagiza chipsi kwa aibu
Ila nilikaa nae chini nikamfundisha kupika vyakula vizuri.
Sasa hivi sina wasiwasi, naweza rudi misele nikakuta kaangusha biriani la kuku na linalika fresh tu.
Anakuna mpaka nazi, na kuandaa mpaka manda za sambusa.
Ubachela ni kazi aisee.
Labda zile chapati za majihqhaha hakuna mtoto wa kiume anaweza kupika hii gheton
Dhaaaa!!! Yan hii ndo natakaHahhahha
Pole sana mkuu.
Tambi ni maji yako tu na mixture ya sukari na chumvi.
Labda usiweke vile vikorombwezo.
za maji zile atleast simpo
Ukiugeuza kila baada ya dk 6 siutakuwa uji huo wali unageuza mara moj tu basMkuu wali unataka timing ya moto tu
Pale ushachemsha maji na takacheemka ukiweka mchele acha uive maji takianza kuaukia tu hapo hapo punguza moto kabxaaa half funikia kwa mfuko wa rambo tu huku ukiiva kwa moto mdooogo
Vizuri ikiwa unauchungulia kila baada ya dakika 6 ivi unaugeuza hapo mambo yanakua bomba[emoji3]
SafiUkhuty hata achari natengeneza mwenyewe
Achari ya ndim
Achari ya mbirimbi
Na achari ya embe
Japo achari ya embe mwanzomwanzo ikikua ikinizingua kidoogo uchanganyaji wake wa viungo
Sent from Calculator Phone vesion007
HahahaAiseeeee!!! Hapo ndo wanaume
Tunaonaga n mlima usiona mwisho
Unapanda
[Color= yellow]Triple A[/color]
Nikufundishe hapa jukwaani?Dhaaaa!!! Yan hii ndo nataka
Nikafunzwe home wakat huu
Naenda likizo mpaka nihakikishe
Nmejua kuipika dhaaa!!
Napenda sana hii kitu aisee
[Color= yellow]Triple A[/color]
achar ya embe mama watotoSafi
Cc usser[emoji7]
Kweli aisee!!uschokizoe ndoHahaha
Ni mazoea tu.
Mbona ukizoeshwa ni fresh tu aisee!!!