Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

db92c3c232331b3ac105f568feaf7975.jpg
nyote wapenda pilau karibuni tule
Nikikupikia pilao naimani utabeba mwingine ktk mfuko wa rambo hadi hom[emoji23]

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Ukhuty hata achari natengeneza mwenyewe
Achari ya ndim
Achari ya mbirimbi
Na achari ya embe
Japo achari ya embe mwanzomwanzo ikikua ikinizingua kidoogo uchanganyaji wake wa viungo

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Ai weewe! utaoa kwa sababu ya kufuliwa au kuoshewa vyombo tu? Si uajiri tu mjakazi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Huyo mjakaz cjui kama
Ntamuacha salama
Maana atakua anakuja kufua
Kila week end to

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Aiseee hongera sana....kama unamudu kupika vyote hivo.
Maana kuna wanawake wengine hivo unavyovipika hawaviwezi.
Nakumbuka mchaga wangu alinikaribisha nyumbani kwake alipika samaki wa nazi na wali wa basmat.
Ilibidi tule tu chipsi aisee
Nyanya chungu ziko kushoto, bamia limesambaa hujui mbegu zi kwapi, gamba la nje li kwapi, vitunguu vinapiga mbizi katikati ya nazi iliyojichuja, anasema alitia tui 3 kwa mpigo.
Nyanya zimesimama kama ziko sokoni.
Vitunguu swaumu anasema alivisaga na maganda yake.
Huo wali sasa...hahahhaha
alipikia kikombe kimoja cha maji maana alijua basmat inaiva haraka.
Anapakua chakula, chakula kinatuangalia macho makavu.
Aliagiza chipsi kwa aibu

Ila nilikaa nae chini nikamfundisha kupika vyakula vizuri.
Sasa hivi sina wasiwasi, naweza rudi misele nikakuta kaangusha biriani la kuku na linalika fresh tu.
Anakuna mpaka nazi, na kuandaa mpaka manda za sambusa.
Ubachela ni kazi aisee.

Aiseeeee!!! Hapo ndo wanaume
Tunaonaga n mlima usiona mwisho
Unapanda



[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Hahhahha
Pole sana mkuu.
Tambi ni maji yako tu na mixture ya sukari na chumvi.
Labda usiweke vile vikorombwezo.
Dhaaaa!!! Yan hii ndo nataka
Nikafunzwe home wakat huu
Naenda likizo mpaka nihakikishe
Nmejua kuipika dhaaa!!

Napenda sana hii kitu aisee

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Mkuu wali unataka timing ya moto tu
Pale ushachemsha maji na takacheemka ukiweka mchele acha uive maji takianza kuaukia tu hapo hapo punguza moto kabxaaa half funikia kwa mfuko wa rambo tu huku ukiiva kwa moto mdooogo
Vizuri ikiwa unauchungulia kila baada ya dakika 6 ivi unaugeuza hapo mambo yanakua bomba[emoji3]
Ukiugeuza kila baada ya dk 6 siutakuwa uji huo wali unageuza mara moj tu bas
 
Ukhuty hata achari natengeneza mwenyewe
Achari ya ndim
Achari ya mbirimbi
Na achari ya embe
Japo achari ya embe mwanzomwanzo ikikua ikinizingua kidoogo uchanganyaji wake wa viungo

Sent from Calculator Phone vesion007
Safi
Cc usser[emoji7]
 
Dhaaaa!!! Yan hii ndo nataka
Nikafunzwe home wakat huu
Naenda likizo mpaka nihakikishe
Nmejua kuipika dhaaa!!

Napenda sana hii kitu aisee

[Color= yellow]Triple A[/color]
Nikufundishe hapa jukwaani?
 
Back
Top Bottom