Uvivu wako wa kupika usikufanye ule makapi. Mavyakula yaliolala kwenye fridge hayanaga ladha.
Best thing ni kuacha uvivu. Pika chakula freshi ule freshi.
Hahah kwahio mie mtoto wa uswahilini tena 🤣🤣🤣!!?kisingizio cha watoto wa uswahilini, Mahoteli yote makubwa vyakula ni vya kwenye friji, huenda hujui mbinu za kuhifadhi, si kila mtu anajua, sawa shosti?
Maharage na nyama ni sawa ila nayo yanapotezaga taste yakikaa sana frijini.Hapa labda, maharage na nyama achemshe ya wiki, halafu kazi yake inakuwa kuunga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
alafu wanashindwa kuwafikisha wake zao kileleni, shida kweli kweliUgali dagaa
Wanaume wa Dar,wanapika kwa haraka zaidi chips mayai,natania hapa.
aaah...dagaa uandaaji wake shughuli,na ile harufu dah...sawa lkn napokea mkuu
Kumbe huu uhuni wa kula tambi na tomato sauce nilihis ni mimi peke yangu hatari mnootambi, unafungua pakti unachemsha na maji, unachukua tomaro sosi unakula siku inapita
Whaaaat! Kuolewa tena,Sasa ukiolewa huyo mume utamlisha nini?
Makande labda kwenye pressure cooker ila mkaa utakesha.Makande na njugu mawe.
Super ...nunua nyama chemsha weka kweny friji kazi yako ina kua ni kuunga tu
ama uwe na soseji za kutosha kwenye friji yako hizi una weza ukawa una unga kweny tambi
uwe na trey ya mayai kienyeji ndani
uwe na tambi zile spaghet ama zile ndogo ndogo zenye ladha ya kuku kazi yako ni kuchemsha tu
una weza pia ukawa na viaz mviringo hiv una chemsha na kuunga na nyama una kula
weka dumu la maziwa fresh/mtind kweny frij
Sent using Xiaomi Redmi Note7 Pro
AiseeUgali na mayai..
Unapiga ugali, unapika mayai. Ugali unalia kwenye sufulia na mayai unachanganya umo umo.. Flampeni kwa mwezi inaoshwa mara moja sababu huwa haichafuki.
Unakuwa na kazi ya kuosha sufulia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mim nimesha vuka hii stage nampa ujuzi kijana [emoji3]Aisee
Nyie viumbe wa kiume acheni uvivu
Salut nyng kwako mkuu umetisha [emoji23][emoji23] sema nn mkuu, hvyo vyombo uktumia ikifika mwaka 1 vitupe nunua vngne maana vtakuwa na hali mbaya sana plus kutoboka kabsa [emoji1787][emoji1787]Ugali na dagaa mchele wa 500.
gadaa, nyanya2, carot1, na kitunguu maji1
kwenye jiko la gesi ni dk5
NB: MBOGA NA UGALI VINALIWA KWENYE VYOMBO VILIVYOPIKIWA KUPUNGUZA KAZI YA KUOSHA VYOMBO
zipo hivi hua zina uzwa mia5 tu madukani zina cover la njanoSuper ...
Tambi ndogo ndogo zipi? Unasemea zile za macaroni au