Mabachelor wa JamiiForums!

Mabachelor wa JamiiForums!

Daaa me bado sn yani baada ya mambo kuvurugika.Alinivuruga sn yule Dada.
Acha nitulie kwanza.
 
Hellow!
Rai yangu mwaka huu usiishe bila kuoa maana sisi ndugu zenu tuko tayari kuwachangia kwa chochote mnachohitaji ili kuepukana na huo ubachelor.
Wadada tunaendelea kuwaombea ili Mungu awasaidie mwaka huu usiishe Bure.
Tuko pamoja sana.
 
Naomba mchango wako nimempa ujauzito mwanafunzi anataka nimuoe
 
Yaani namwita tujadili mambo ya maendeleo anaanza kujihami nisimtongoze! Yaani hajanitendea haki kabisa.
Bora hata uniite na mimi kwenye hayo majadiliano, nikiwepo atakuwa comfortable kidogo[emoji40] [emoji40]
 
Back
Top Bottom