Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

6b57c7754196bc6e60607f6f884c9f47.jpg
 
Kwani alipowateua hakujua kua walikua na uwezo mdogo?

The offece of the president of united republic is too big.
 
aniteu na mimi niwe MP viti maalumu halafu anipe huo MPINI wa uwaziri...wataisoma namba!
 
Safiiiiiiiiiii....

Mhagama, Ummy uwezo wao mdogo sana sanaaaa...!!!

January tatizo lake SIO MWAMINIFU... kumzunguka Rais hilo anaweza fanya... He cannot be trusted... ampige chini tu...!!!

BASHE ni kichwa, mbunifu, mtendaji, ni mtu wa HAPA KAZI TU...!!!

Adadi Rajabu sio mtendaji kivile, aluvyokuwa DCI rushwa ilishamiri sana... labda Magufuli amdhibiti sana, sbb hii SERIKALI HAKUNA MCHEZO... Rajabu analijua JESHI LA POLISI VEMA, anatakiwa Rais am FINE TUNE aende na HAPA KAZI TU.... NO RUSHWA, NO UZEMBE... NA JESHI LA POLISI Adad Rajab ataliweza... but Rais lazima awe macho nae....

Nice move so far...!!!

Magufuli with the BALL, master of masters....!!

We love you Rais Wetu...!!
 
Poleni Sana mlio tajwa kupata hizo nafasi ndio haiwezekani kuteuliwa kuwa mawaziri
 
Duuu kumekucha aisee ,
Kamua baba ,kamua baba
Kamua baba usitumie hirizi .........

Sema usisahau katiba ya Warioba ,2020 hawatakupitisha

Tumeipenda wenyewe
Chaguo letu milele
Na wavimbe wapasuke...
Wacha waisome namba
 
Back
Top Bottom