Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri. ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa...

1. Jenister Muhagama..... Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa....

2. January Makamba...... Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari

3. Ummy Mwalimu...... Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..

Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga.... wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili... na pia Serukamba amekuwa akitajwa.....

mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli.... ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania....

Moono yako sawa lakini umakini sana unatakiwa maana bado kunawanamtandao plani zao ni kuona uongozi haufanikiwi hata katika uteuzi atakuta anaweka ambao ndio kumbe sio
bado kuna ambao kauli zao mdomoni safi lakini rohoni hawaponae,
 
6b57c7754196bc6e60607f6f884c9f47.jpg
huyo wa pembeni ya magufuli ni majaliwa?
 
Hata kama habari hii sio kweli, ila iwapo atawatoa January na Jenister nitamuunga mkono. Huyo January hana uwezo bali ni mtu wa kubwebwa tu na mpenda sifa. Huyo Jenister kwake kila kitu ni siasa hana uwezo wala hana ajualo zaidi ya kuleta sifa za kichama. Kwa ujumla hawa walifaa kwenye utawala uliopita uliokuwa unajali sifa za kijinga katika uongozi.
 
Kijana mteule Mkamba Mbona anakufukuafukua Ndio maana JK alimpa unaibu waziri tuuuu sana
 
hizi habari kama ni za kweli basi itashangaza sana maana mkuu alijichimbia mda sana akisuka baraza tukatumaini angeibuka na baraza makini lakini hata nusu mwaka bado mabadiliko?????
 
Sioni tatizo, ni bora wakajaribiwa wote wanaodhaniwa wanaweza kazi ya uwaziri. hatimaye watapatikana watakaoweza kuenda kwa kasi ya Mh. Rais. Tukubali tisikubali nchi kwa sasa inahitaji rais kama JPM.

Watanzania wenye sifa, uwezo, uadilifu na unyenyekevu wa kuongoza wizara wapo wengi tu. Asichoke, aondoe kila anapobaini matatizo yasiyorekebishika. Wapo ambao wanadhani kazi ya uwarizi inafanywa kwa mazoea.

Uwezo, ubunifu na jitihada za makusudi ndio sifa ya ziada inayotakiwa kuwa nayo mtu mwenye wadhifa wa kuwa waziri. maendeleo ya dhati na ya haraka hayawezi kuletwa kwa manene na blabla tu. Juhudi na maarifa zinahitajika ili kuweza kuwapatia wananchi maendeleo yaliyoahidiwa.

Ni ajabu sana kwa mfano, kila siku yapo matatizo ya kiutendaji na ufisadi Chuo cha Ufundi Arusha, Chuo hiki kipo chini ya wizara ya Elimu, lakini ni kama vile Wizara imefunga masikio, macho na akili kwamba hawasikii, hawaoni wala hawaelewi kinachofanyika chuoni hapo.

Sasa Mh. Rais akikasirika na kutengua uteuzi wa Waziri, atalaumiwa na mtu yeyote? Baadhi ya mawaziri hawamsaidii Rais, hivyo kuwaondoa ni haki kabisa!

Tupo pamoja na Mh. Rais kwa kazi nzuri anayofanya. Ikiwezekana usikasimu madaraka yako kwa yeyote, ondoa wote ubaki wewe na waziri Mkuu tu kama ulivyofanya kwa takribani miezi miwili bila waziri na kazi ya nchi ilikwenda kama kawaida. Katiba inakuruhusu
 
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri. ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa...

1. Jenister Muhagama..... Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa....

2. January Makamba...... Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari

3. Ummy Mwalimu...... Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..

Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga.... wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili... na pia Serukamba amekuwa akitajwa.....

mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli.... ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania....
TUSUBIRI TUONE..........................
 
Hata teua toka wapi maana ccm yote mbovu! na akimtoa makamba ndio majungu yatazidi na hapo ndio patakua patamu sasa

Huyo hawezi kutoka, labda kama hakua kwenye kamati ya UFUNDI ya ushindi na hakukua na figisufigisu, anaweza kumwaga Mboga wakimwaga ugali. Huyo ni liability, anapewa uwaziri sio kwa kuwa anaweza lahasha, ila kwa sababu kuna vitu anavifaham. Hata hivyo kwa mkuu alivyo, chochote chaweza kutokea!
 
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri. ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa...

1. Jenister Muhagama..... Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa....

2. January Makamba...... Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari

3. Ummy Mwalimu...... Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..

Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga.... wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili... na pia Serukamba amekuwa akitajwa.....

mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli.... ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania....

Plz, JPM arukeruke asimweke Adad kwenye wizara ya mambo ya ndani... coz haiwezekani watu ambao walikua kwenye system ile ile mbovu miaka yote waje kuleta mabadiliko kwenye wizara hii.

Akimweka Adad... drud lords, majambazi watajifariji wataona ni system as usual....
 
Back
Top Bottom