Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri. ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa...
1. Jenister Muhagama..... Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa....
2. January Makamba...... Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari
3. Ummy Mwalimu...... Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..
Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga.... wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili... na pia Serukamba amekuwa akitajwa.....
mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli.... ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania....
amepeta nini mkuu??naona mwigulu kapeta...
huyo wa pembeni ya magufuli ni majaliwa?
Ndio naona wanapanga kikosi kipya kocha anakata tuhuyo wa pembeni ya magufuli ni majaliwa?
TUSUBIRI TUONE..........................Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri. ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa...
1. Jenister Muhagama..... Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa....
2. January Makamba...... Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari
3. Ummy Mwalimu...... Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..
Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga.... wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili... na pia Serukamba amekuwa akitajwa.....
mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli.... ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania....
Hata teua toka wapi maana ccm yote mbovu! na akimtoa makamba ndio majungu yatazidi na hapo ndio patakua patamu sasa
Wote ni wale wale tu atabadilisha kila siku.