Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Kwa hiyo wapinzani wanashirikiana na makamba kumhujumu Mgufuli? Nchi ya ajabu sana hii..... Hivi hawa wanatetea nini sasa?
 
Si bure, kuna mtu unampigia debe!
Huna lolote Ila kuna majungu u!edhamiria kuyafanya!
Unatoa wapi tetesi za watu watatu kwa incidences tofauti!
Majungu si mtaji, kwa uroho wenu mnamuharibia raisi!
 
Duuh hii panga pangua hadi hii half time timu haijafunga goli. WB inasema wananchi milioni kumi na mbili ni masikini hoe hae... Ngoja tuendelee kujipa moyo...
Hao maskini milioni 12 wameupata kuanzia lini? unahusishaje na utawala uliyoko madarakani kwa miezi hii 7?
 
Kweli jf ni kiboko, nakumbuka kuna member alikuja humu akasema aliyekuwa naibu katibu mkuu wa UN ,MIGIRO wakati wowote anatangazwa kuwa balozi uingereza,na kweli mda mfupo ikatangazawa hivyo. Yani huko ikulu hakuna siri

Baada ya Magufuli kufagia mabaki ya jk ikulu nilitarajia hakutakua na leaks tena Magogoni!
Kumbe nilijiamimisha bure nyeti kibao zinavuja
 
Tunaendelea kuchochea kuni haramu haiwezi kuwa halali!

Maandiko yanahusika hapa Kesho kwa wale wakristo Utatu Mtakatifu anatuhusu.
 
mvua njooo katarina njooo,najaribu kujikumbusha haka kawimbo ka enzi za utooo tulipokua tukiona wingu limetanda tuliimba hivyoo.japo hatukua tukijua madhara ya mvua katarina
 
Mpaka leo sijaelewa Ummy Mwalimu na Mhagama (as well as Nape) walipataje kuwa mawaziri katika Serikali iliyothubutu kusema baadhi ya Wizara mawaziri "makini" hawajaonekana. Nadhani hii ilitokana na ile dhana ya kila mmoja kwenye top 3 kutakiwa kupendekeza watu wake.
 
Mytake: wananchi
sema wanaccm ,.usiwajumlishe wananchi wote wengine hatumuungi mkono kwakuwa mapendekezo yetu jp hayatumii mfano,.kumteua muhongo huku ni muhusika wa escrow,.mwakyembe nk
so tumia neno wanaccm,.sio wananchi woooote tupongeze na kusifia kama mfanyavyo nyieeee
 
mkuu yaani kwa mtu mwenye akili timamu,.ccm siyakushabikia kabisaaaaa
mwakyembe ndo wazr husika wa katiba na sheria za nchi hii,then mtu mlevi mlevi2 anavunja katiba tena mbele ya chombo cha buge,.then anachekelea bila haibu,.hivi hawa viongoz wakoje sijui,....jpm anakaz sana kwa hii system ya kuchekeleana hovyohovyo,.labda aame chama,.ila ndani ya ccm,..hamna atakofanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…