1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Nadhani hili la Kitwanga kufukuzwa kazi kwa ulevi lilikua limelenga kumuepusha na kashfa ya Lugumi lakini limeibua vita mpya huko maofisini.
Kwa kweli wakuu wengi wa Idara ni walevi. Na hata ishu za kazi wanazipangia kwenye ulevi. Hata watumishi wa chini wanakupokuwa wanawapa mabosi ofa za pombe na ngono ndipo mambo yao yananyooka.
Utendaji unakwamishwa na walevi wa pombe na ngono maofisini.
Watu wanakesha kwenye baa halafu kesho wakutana ofisini kusimuliana matukio ya pombe za jana.