1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Nyumbu ni wazazi wako.JM anachukiwa sana na nyumbu na hii yote ni namna alivyocheza kwenye mechi ya uchaguzi mkuu
Naunga mkono kabisa kwamba kuachia enzi za Lyatonga Mrema, nchi haijapata tena waziri aliyefaa wizara ya mambo ya ndani. Kwa sasa tunahitaji mtu mwingine aina ya JPM au Mrema. Hakika mtu huyo kwa sasa ni Dr W. Slaa. Tuombe Mungu Rais afikiri au ashauriwe sawasawa ili tupate mtu muafaka wa kuongoza wirara hiyo nyeti.Unajua vizuri mgongano wake wa kimaslahi ulivyokwamisha maendeleo ya manispaa ya mji wa Bukoba?
Alikua wizara hiyo hiyo na hakuna alichofanya kimkakati chenye tija kwa taifa.
Tunataka hiyo wizara iongozwe na mtu mwadilifu kwani inaigusa jamii kwa kiwango kikubwa.
Dr. Slaa ateuliwe kuwa mbunge na kukabidhiwa wizara hii.
Bila kuwa na waziri wa mambo ya ndani mwadilifu Magufuli atakwama sana.
Mkuu hii siyo kujadili mambo yasiyo na tija, bali watu wengi wamechoshwa na namna nchi inavyoongozwa. Viongozi ndio chachu ya maendeleo ya Taifa lolote Duniani. Viongozi ni dira, mfano wa kuigwa na ndio watunga sera. Viongozi wakitunga sera nzuri watu wetu wengi watakuwa bize na shughuli kwa kuwa kilimo kitakuwa na tija, uzalishaji wowote utakuwa na tija.Thread hii inathibitisha ile taarifa kuwa 71% ya Watanzania hupenda kufanya mambo yasiyo na tija. Seriously, tangu jana bado tunajadili TETESI!!?? Come on guys!
Unajua vizuri mgongano wake wa kimaslahi ulivyokwamisha maendeleo ya manispaa ya mji wa Bukoba?
Alikua wizara hiyo hiyo na hakuna alichofanya kimkakati chenye tija kwa taifa.
Tunataka hiyo wizara iongozwe na mtu mwadilifu kwani inaigusa jamii kwa kiwango kikubwa.
Dr. Slaa ateuliwe kuwa mbunge na kukabidhiwa wizara hii.
Bila kuwa na waziri wa mambo ya ndani mwadilifu Magufuli atakwama sana.
Hapana anastahili kubaki bungeni kuidimamia serikali. Akipew uwaziri atazimwa kama mwakyembe na AnnekilangoBashe ana stahili kua waziri
Kuwa mzalendo japo kidogo, anaweza kuwa ana asili ya kisomali lakini hata babu yaTuondolee uchuro, hakuna msomali anayeweza kuwa waziri Tanzania ya leo, BTW Bashe ni kibaraka wa Rostam Aziz mzee wa Panapa paper hatuwezi kuweka maliasili zetu rehani ati Bashe awe waziri wa maliasili ili amgawie vitaru Rostam Aziz ambaye anamiliki kampuni za uwindaji, tuondoleeni uchuro huu Tafadhari, Rais si mpuuzi kama mnavyodhani na system iko macho na tunafanyanayo kazi bega kwa bega na taarifa zote sahihi tunazifikisha.
Ndio maana wengine hatuna muda wa makelele kwa sasa tumeshika rimoti tu.
One down next Ramadhani Dau.
Tanzania ina watu wabaguzi sana km ww Matola yani unathubutu kusema mtu asipewe uwaziri sababu anaasili ya kisomali.Bashe???Kaajiriwa na Rostam apewe uwaziri?Acha utani na magufuli
Serukamba alitupa tabu sana na hela za lowassa huyu hata msimfikirie kabisa
Yaani huyu mwakyembe kwa hili ndio nimezidi kumdharau, wakati anamtukana Lowasa STAR TV niliona ni mtu asie jielewa kwa hili la kuchekea mlevi ana dharaulisha bunge na bendera za nchi hii ndio nime tia super glue kuwa jamaa sie. Wana Kyela pole yao ndio maana jimbo haliendelei hawana mtu pale.mkuu yaani kwa mtu mwenye akili timamu,.ccm siyakushabikia kabisaaaaa
mwakyembe ndo wazr husika wa katiba na sheria za nchi hii,then mtu mlevi mlevi2 anavunja katiba tena mbele ya chombo cha buge,.then anachekelea bila haibu,.hivi hawa viongoz wakoje sijui,....jpm anakaz sana kwa hii system ya kuchekeleana hovyohovyo,.labda aame chama,.ila ndani ya ccm,..hamna atakofanikiwa
Kweli wewe ngedele.We ungefanyeje?
kama ni dhamira njema umejisahaulisha vipi tatizo la Zanzibar? au pia ni dhamira njemaMuda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.
1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.
2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari
3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..
Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.
Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
Yeye ni rais. Hii hoja oh mara aungwe mkono mimi inanishangaza. Kwani mtu anaweza kuwa rais kama hakuungwa mkono na wananchi. Kama kweli alichaguliwa na wananchi, atekeleze wajibu wake kwa sababu job description ya wananchi anayo.Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.
1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.
2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari
3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..
Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.
Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
NINAOMBA RADHI KAMA ITAKUWA IMEMKWAZA YEYOTE ILA NIA YANGU ILIKUWA NZURI KWANI TUNATAKA TUFIKE MBALI HIVYO KUSHAURI NI MUHIMU ILI TUSAIDIE GURUDUMU LA MAENDELEO
Unapita kuelekea wapi wakati kule kwenu daraja limekatika we rudi tu JF uchangie yakoKila mtu ana ulevi wake, kama si huu ule. Mie napita tu.