Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,846
Mhagama atolewe tu, ila UMMY Mwalimu Aelekezwe kwanza kwamba "Utendaji wake hauridhishi" ila sasa UMMY Mwalimu udhaifu wake ni kutofanya ziara kwenye hospitali za Rufaa, Mikoani na wilayani na kutoa maelekezo, maana kuna Malalamiko mengi sana ya wananchi huku, kuna yale Maduka ya MSD yaliyofunguliwa ndani ya hosp. za Serikali za Rufaa nk. nayo siku hizi hayana dawa kabisa...
UMMY anakosa Ubunifu kabisa.
January huyo Atolewe maana yeye anawaza Urais muda wote, hivyo anajipanga kimya kimya, ndo maana utendaji wake ni mdogo sana.
UMMY anakosa Ubunifu kabisa.
January huyo Atolewe maana yeye anawaza Urais muda wote, hivyo anajipanga kimya kimya, ndo maana utendaji wake ni mdogo sana.