Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,846
Shusha miguu maana[emoji39] [emoji39]Jenister, Ummy na February naunga mkono na miguu watoke tu
Hivi Bashe ana asili ya wapi? Nipeni Cv yake wajameniBashe ana stahili kua waziri
Interesting....
Ao ushaambiwa ni tetesi brotherChanzo cha taarifa?
Teh teh hapana sishushi mpaka mkuu wa nchi awatoe hao aseeShusha miguu maana[emoji39] [emoji39]
Hususani Adad Rajab na Serukamba hawafai kuwa mawaziri wanapenda majungu sana pia Serukamba ni mlevi kupindukia Usiku yupo club mda mwingi Kama Le Mutuz .Hii habari inaweza kuwa kweli, lakini hao mawaziri wapya ndiyo sikubaliani
Ni Mtanzania halisi, ndio maana ameweza kuwa Mbunge. Unachokitafuta ni KUWEKEZA mzizi wa kinafiki. AU unataka kujua babu zake walikotika? Ni Somaliland.Hivi Bashe ana asili ya wapi? Nipeni Cv yake wajameni
Adad Rajab atabolonga akipewa Wizara hiyo ni bora wampandishe yule naibu Waziri kuliko Adad ambaye ni mpenda Dili hakuna mfano.Safiiiiiiiiiii....
Mhagama, Ummy uwezo wao mdogo sana sanaaaa...!!!
January tatizo lake SIO MWAMINIFU... kumzunguka Rais hilo anaweza fanya... He cannot be trusted... ampige chini tu...!!!
BASHE ni kichwa, mbunifu, mtendaji, ni mtu wa HAPA KAZI TU...!!!
Adadi Rajabu sio mtendaji kivile, aluvyokuwa DCI rushwa ilishamiri sana... labda Magufuli amdhibiti sana, sbb hii SERIKALI HAKUNA MCHEZO... Rajabu analijua JESHI LA POLISI VEMA, anatakiwa Rais am FINE TUNE aende na HAPA KAZI TU.... NO RUSHWA, NO UZEMBE... NA JESHI LA POLISI Adad Rajab ataliweza... but Rais lazima awe macho nae....
Nice move so far...!!!
Magufuli with the BALL, master of masters....!!
We love you Rais Wetu...!!
Huyo mguu nje mguu ndani, subilininaona mwigulu kapeta...
Una maana Makonda atapewa Ubunge wa kuteuliwa kisha atakuwa Waziri wa mambo ya ndani au ??NYOTA YA MAKONDA