Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete source#BREAKING
Ndg. Stephen Masele awa Waziri wa viwanda Biashara na Masoko aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Ndg. Charles Mwijage apelekwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi achukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndg. Kitwanga.
L
Lete source
#BREAKING
Ndg. Stephen Masele awa Waziri wa viwanda Biashara na Masoko aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Ndg. Charles Mwijage apelekwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi achukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndg. Kitwanga.
Iko wapi barua ya Msigwa wewe mbwiga? Mods pigeni BAN hii kiumbe inaletaje habari za kufikirika hapa jukwaani?#BREAKING
Ndg. Stephen Masele awa Waziri wa viwanda Biashara na Masoko aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Ndg. Charles Mwijage apelekwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi achukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndg. Kitwanga.
Ndo maana nikasema wanaleta taabu bila sababu. Suala la insurance cover should not be the reason. Hii dunia kuna watu waliowahi fanya mambo ambayo hata leo akili zetu wengine haziwezi kabisa kuelewa nini kilitokea. Achana na Einstein, mtu kama Yuri gagarin utasema alikuwa na ubongo wa aina gani hadi aibadilishe dunia? Angalia soyuz inavyofanyakazi! Lakini wote hawa walionyesha ni binadamu.Ninaelewa superiority walionayo madaktari, kwanza hata insurance cover kwa wao kupractice ni kubwa kulinganisha na nurse or pharmasist, sina uhakika kwa TZ. Tuache hili lakini umewahi kufikiria dereva wa daladala aendeshe basi bila kondakata hata petrol station bila mhudumu wa kujaza mafuta. Akifika petrol station dereva asisimame ajaze mafuta, afike mahali asimame achukue nauli. Hii ni picha ndogo ya madaktari bila nurses wala pharmasists.
Iko wapi barua ya Msigwa wewe mbwiga? Mods pigeni BAN hii kiumbe inaletaje habari za kufikirika hapa jukwaani?
Mambo ya kuokota habari wassap halafu unazileta kwenye majukwaa ya wakubwa.Iko wapi barua ya Msigwa wewe mbwiga? Mods pigeni BAN hii kiumbe inaletaje habari za kufikirika hapa jukwaani?
Hilo neno la tatu mkuu jamaa zako wakilitafsiri utakuwa na wakati mgumu sana!! Mengine yote uko sahihi?Itakuwa ni upuuzi Mkubwa sana kama Mh Rais atakuwa amefanya mabadiliko haya. Sijui kwanini Mh Rais anapanic? Kwanini anarudisha watu wasio na taaluma ya Viwanda. Nasema Masele hawezi kufanya kama ambavyo mwijage anafanya. Kama Mh Rais hatatulia huenda akaharibu zaidi. Ushauri wangu kwa Mh Rais.. ni kutofanya mabadiliko yeyote ila ateue Mwanajeshi mstafu mwenye uzoefu wa management na aliyebobea kwenye masuala ya Usalama, Upelelezi na Uharifu wa Kimitandao. Huyu Mtu anaweza kumusaidia ktk wizara ya mambo ya ndani. Mh Rais Please usipanic wala kudanganyika haraka hivi.Safari bado ni ndefu.
Masele ndo nani?????Iko wapi barua ya Msigwa wewe mbwiga? Mods pigeni BAN hii kiumbe inaletaje habari za kufikirika hapa jukwaani?
teh teh tehHuna akili vizuri wewe. Wewe ni wakukuonea huruma siyo bure. Soma uzi vizuri usiruke ruke
Wewe ni kakum'nyoko yaani umedit na kuongeza neno la kwamba umeoteshwa ndo unaniita mimi sina akili? Hivi mimi na wewe tukilinganisha uzi wako wa mwanzo na nilivyokujibu nani hana akili? Ngoja tukuitie "Painkiller" labda utatia akili!Huna akili vizuri wewe. Wewe ni wakukuonea huruma siyo bure. Soma uzi vizuri usiruke ruke