Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Abra ca dabra.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana nafasi za uwaziri Kwanza zinatazama Lake zone tu?
Ngoja na mimi nikusaidie kucheka mkuu, teh teh teh teheeeeee!!! Huyu jamaa amejivua nguo mchana kweupe, eti anajiona mjanja kumbe bonge la faraaa!! Eti tulivyolisakama ndo likakurupuka usingizini kwenda kuongeza "nimeota" Mods wasimwonee huruma huyu mbwiga lazima ashikishwe adabu!!teh teh teh
naona umejitahidi kuedit, ila bahati mbaya ukasau kuwa tayari watu walikuwa wamesha ku qoute kwenye original post
Aliyetumbuliwa jana katoka mwanza, aingie masele kutoka shinyanga, sasa ukabila wangu au?Acha ukabila brother hautakusaidia. Tanzania ni moja na watu wake ni wamoja.
Aliyetumbuliwa jana katoka mwanza, aingie masele kutoka shinyanga, sasa ukabila wangu au?
Eti mbunge wa Shinyanga mjini?Hiv
Masele ndo nani?????
Mawaziri vivuli kaskazini mbona sisi hatujalalamika next time jifunzeniIna maana nafasi za uwaziri Kwanza zinatazama Lake zone tu?
Ko mwanajeshi tena mstaafu ndo awe bosi wa polisi???!Itakuwa ni upuuzi Mkubwa sana kama Mh Rais atakuwa amefanya mabadiliko haya. Sijui kwanini Mh Rais anapanic? Kwanini anarudisha watu wasio na taaluma ya Viwanda. Nasema Masele hawezi kufanya kama ambavyo mwijage anafanya. Kama Mh Rais hatatulia huenda akaharibu zaidi. Ushauri wangu kwa Mh Rais.. ni kutofanya mabadiliko yeyote ila ateue Mwanajeshi mstafu mwenye uzoefu wa management na aliyebobea kwenye masuala ya Usalama, Upelelezi na Uharifu wa Kimitandao. Huyu Mtu anaweza kumusaidia ktk wizara ya mambo ya ndani. Mh Rais Please usipanic wala kudanganyika haraka hivi.Safari bado ni ndefu.
Umesema mengi sana! Yanatosha. Tatizo ni huu mfumo wa local gvt. Ni sekta zote huko kwenye local govt. hazina connection na serikali kuu. Unawezaje kukuza elimu ya msingi inayosimamiwa na local govt? au kilimo? Sera ziko wizarani Dar. Mkoani hakuna msimamizi wa sera, halafu ukute Halmashauri ndo isimamie sera wakati unaelewa uwezo wa wataaamu wake uko chini.You can fault Ummy Mwalimu for her limitations but there is enough blame to be shared kwenye hiyo wizara na kwa sehemu kubwa ni kwa wataalamu wa mifumo kufikia malengo.
Binafsi sikuwahi kuona huyu dada kama hiyo wizara kachaguliwa kwa merit given its challenges na umuhimu wake lakini kaonyesha kujali na jitihada isipkuwa uwezo unamkwamisha na timu nzima iliyopo juu wizarani ni bomu.
Hakuna sera kuu na mikakati yoyote kwenye kulenga chochote zaidi ya maduka ya dawa na dirisha la wazee; na hizo ni kama 1% za changamoto za efficient ya sector nzima, directives zinapangwa kutoka bottom up badala ya top down unajiuliza hiyo national universalism itatoka wapi. Matokeo sehemu azina ambulance waziri anasema hoo nyie mbona amkuweka kwenye vipaumbele vyenu hili nalo linataka kipaumbele au necessary just shows the limitations ya watu wengi humo ndani sasa kama unafikiria changamoto za staff turnover kutotaka kwenda vijijini au motisha zitaboreshwa na watu hawa utasubiri sana ata ukimtoa huyu Ummy Mwalimu.
Sijui sehemu zinigne azina wataalamu, understaffed at 49% nationally, mara kila mtu ndani ya TAMISEMI naye anadhani anaweza amuru sector ya afya na kufanya ziara za kushtukiza wenyewe kuanzia waziri, mkuu wa mkoa mpaka madiwani na kila mtu anadhani anajua nini kilitakiwa kifanyike.
Tatizo lingine ni kwamba serikari za mitaa hawana directives zozote za wizara nini lazima wahakikishe kinafanyika. Sasa tena ukiongeza na hii wizara imewekwa na huduma zingine za jamii na protection ya wazee na watoto halafu hakuna partnership frameworks zozote locally za mashule, polisi na huduma zinazowagusa hawa watu.
In short the whole thing ni kama kitabu kuelezea matatizo ya afya na trust me hiyo siyo shughuli ya daktari wala nesi kuna wataalamu wengine kabisa ndio wanasimamia mifumo ya afya daktari ni stakeholder ambaye inabidi umuingize kwenye kupanga sera kutetea maslahi yake lakini si mtaalamu wa mifumo ya afya.
Kwa hivyo kumlaumu Ummy Mwalimu ni kama kumuonea tu ukiangalia kwa undani zaidi tatizo la msingin linaanzia kwenye safu ya government senior civil servant wa sector. Wizara aina ata regulator wa health services, wala monitoring agencies wa vitu wanavyopigia kelele kila siku kuhakikisha vinasimamiwa ina maana hata huko mahospitalini kutakuwa na policy variations jinsi wanavyofanya kazi kufikia malengo ya wizara sijui local government, hakuna legislation zozote kufanikisha tartgets za WHO policies ata hao wazungu wanaendesha na sera za hao jamaa, tatizo ni uwezo wa wengi ambao wanatakiwa kumsaidia kabla kumfikia Ummy Mwalimu anaendesha wizara kama gari bovu.
Teh.. Tehe.. Teh..Teh..tehe ..alikuwaga naibu waziri somewhere!!"""!"Eti mbunge wa Shinyanga mjini?
Ni fundi?!Namuomba mhe. Rais kwa vyovyote vile asimteue Adadi kuwa waziri wa ndani. Wakati akiwa Dci alishiriki kufunga kamera mitaani mfano Samora ambazo hazifanyi kazi
Mtoa post hukumuelewa mwanzoni kabisa,yeye amesema Anaota! Kwahiyo muache aendelee kulala ili aote tena[emoji1] [emoji1]Itakuwa ni upuuzi Mkubwa sana kama Mh Rais atakuwa amefanya mabadiliko haya. Sijui kwanini Mh Rais anapanic? Kwanini anarudisha watu wasio na taaluma ya Viwanda. Nasema Masele hawezi kufanya kama ambavyo mwijage anafanya. Kama Mh Rais hatatulia huenda akaharibu zaidi. Ushauri wangu kwa Mh Rais.. ni kutofanya mabadiliko yeyote ila ateue Mwanajeshi mstafu mwenye uzoefu wa management na aliyebobea kwenye masuala ya Usalama, Upelelezi na Uharifu wa Kimitandao. Huyu Mtu anaweza kumusaidia ktk wizara ya mambo ya ndani. Mh Rais Please usipanic wala kudanganyika haraka hivi.Safari bado ni ndefu.