Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Kilimanjaro ccm imekataliw, labda unaota mchana

Kilimanjaro ccm imekataliwa, labda unaota mchana
Ila ukumbuke Kilimanjaro pia kuna wanachama kindakindaki wa ccm..hawa na wenyewe wapewe nafasi..
 
Yetu macho kwa sauti ya komba atunywi sumu hatujinyongi CCM mbele kwa mbele tumeipenda wenyewe chaguo letu milele acha waisome Namba CCM mbele kwa mbele

Ni sawa hivyo ni vibwagizo vyao tu wakidhani kila siku za wiki ni Jumapili wakisahau na Jumatani imo.Ni ulevi tu wa madaraka lakini nchi kama nchi lazima iende mbele kimaendeleo na wananchi wanufaike na keki ya taifa lao bila kubaguana huyu ni wa ile ile au ni kati ya wasoma namba.Kwanza wao wa ni ile ile nao wanateseka nasi mitaani na wanaonufaika ni viongozi wao wachache.Nakubali wengi wa viongozi wa ccm ni mafisadi na wala rushwa wakubwa ila lazima tuwachambue upya tutawapata wachache wanaofaa kama Magufuli nae tumemwagiza atuchambulie huku nasi tukimsaidia kwa taarifa juu yao na awafukuze na kuwapeleka mahakamani wote wanaogundulika.Bahati nzuri kama tunavyomfahamu na alivyotuhakikishia kwenye mikutano ya kampeni hamwogopi yeyote na hatamwonea yeyote atawatumbua.WANANCHI ZIDISHENI KUMWOMBEA ULINZI KWA MUNGU KAMA ALIVYOTUOMBA.
 
Ummy mwalimu mbona anafanya kazi vizuri kuliko mawaziri wengine ambao hata hatuwasikii ama kuwaona ktk vyombo vya Habari.
 
rais abadilishe katiba imruhusu kuteua wabunge bila ukomo ili apate wigo mpana wa kuteua mawaziri nje ya wabunge wa CCM maana wenye uwezo wameisha wamebaki kina goodluck na Agnes.

Wazo zuri sana.Ni kama nchi inaweza isisonge mbele kwa ajili ya taratibu za chama tawala zinazom-bana raisi katika teuzi zake.Itabidi na hajachelewa kifungu kiwekwe kwenye katiba cha kumruhusu raisi kuchagua uraiani na hata upinzani siuoni ubaya kwa maendeleo ya nchi na wananchi wake kwani watakaochaguliwa watakabidhiwa job discription ya jinsi ya kutenda na watakula kiapo cha utii kwa raisi.Hofu ya ccm ipo wapi?
 
Umehamia wapi mkuu,vipi maisha ya huko?
Maisha yapo normal asiyejua hajui ,ajabu ya dar kila mtu ni information source wakati ni stori tu, kasikia vibarazani au bar,wakati mwingine hii ni tabia mbaya kueneza vitu usivyokua na uhakika navyo
 
Kwa hili nitamuunga mkono Rais Magufuli.... Mhagama na Ummy uwezo wao mdogo.... January kabaki kuuza sura na kutongoza mademu tu....

Nami nimeshashuhudia pale Protea akiwa na wafanyabiashara Haroon na Gonzaga wakipanga mipango ya kumhujumu Rais... Ni jumamosi iliyopita baada ya kutoka kwenye mkutano wa Bona Kaluwa

Duh
Hatari.....
 
Muda si mrefu kuanzia leo JPM ataweza kupangua baraza la mawaziri baada ya kujionyedha kuna baadhi yao hawaendani na falsafa yake,
Kwa taarifa za ndani zinasema atakayemfuata Kitwanga kwa kupigwa chini ni waziri wa mazingira ofisi ya makamo wa Rais January makamba, Hii inatokana na habari za kuwa miongoni mwa wanaodaiwa kumhujumu Rais kupitia mtandao alionao kuanzia wafanyabiashara wakubwa ambapo ndo chanzo kikuu cha kuhujumu uchumi,
Na pia January makamba amekua akijinaibisha kuwa yeye ana nguvu ndani ya chama ndo maana hataweza fanywa lolote Ila Dr anataka aonyeshe kuwa hakuna aliye juu kuliko wananchi.
 
Acheni kujihami, mnadhani mkijitanguliza kuandika andika vi-speculation vyenu humu ndo mtapona. Mnaandika mapema kama mbinu ya kumfanya jamaa aone aibu kuwatumbua. Hizi ni zama tofauti, jamaa haangalii usoni.
 
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.

1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.

2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari

3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..

Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.

Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
s
 
Hatunywi sumu hatujinyongiiii
Ccm mbele kwa mbeleeee
Wataisoma nambaeeee
Ccm mbele kwa mbeleee
Ccm ni ilee.ileeeeeeeeee
 
wako wanaodhani rais anaongozwa na mitandao kufanya kazi.
 
Naomba nimuongeze Nape Nnauye. Au angevunja tu baraza la mawaziri aanze upya.
 
Back
Top Bottom