chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,118
Kutokana na Baraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba na Januari Makamba, wata TUPWA NJE!