Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Nani kuondoka, nani kubaki na nani kuingia?

Kutokana na Maraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba na Januari Makamba, wata TUPWA NJE!
Watoke tu,output ni zero.Mwakyembe na Maghembe nao ni mizigo,wapumzishwe.Waziri wa elimu naye alianza vizuri, sijui kitu gani kimemkuta sasa hivi mm.
 
Kama kuwatoa mwigulu na makamba basi litakuwa limetimia adiko alilosema mzee yusufu makamba kuwa huyu KIWETE alikuwa anabatiza kwa maji na SIZOJE atawbatiza kwa moto , batiza basi hao sizoje.
 
Labda Mwigulu ila Makamba yupo karibu sana na makamo wa rais.
 
Kutokana na Baraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba na Januari Makamba, wata TUPWA NJE!
Kwa hiyo ungetaka tufanye nini mkuu?
 
Kutokana na Baraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba na Januari Makamba, wata TUPWA NJE!
Umeshakua jerson msigwa wewe?
 
Ila kati ya mawaziri wa ajabu ajabu kutokea kwenye wizara hii ya mambo ya ndani miaka ya karibuni ni Mwigulu Nchemba , kwakweli nimeshindwa kumuelewa kabisa. Issue zote zinazohusu wizara yake zinakuwa handled na Makonda.

Kitu kinachoweza kufanya asitemwe, ni kwasababu yeye "hamuingilii" Bashite cheo chake alichopewa na dingi yake wa Magogoni. Na hilo linamfurahisha sana mkuu inavyoonekana, maana anayeenda kinyume na Bashite hana kazi.

Sasa hilo kwenye wizara ya mambo ya ndani anakuwa tu kama "mbwa kibogoyo"

Yani heshima ya Mwigulu Nchemba imeshuka. Kama ni graph imeenda kwenye negative kabisa.
 
Watoke tu,output ni zero.Mwakyembe na Maghembe nao ni mizigo,wapumzishwe.Waziri wa elimu naye alianza vizuri, sijui kitu gani kimemkuta sasa hivi mm.
Kilichomkuta ni maagizo kutoka juu, nadhani hajafungua acc tweeter angekuwa anapunguza stress kama wenzake.
 
Kutokana na Baraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba na Januari Makamba, wata TUPWA NJE!
JF kuelekea ucku wa mananeeeh
 
Ana wengine wa kuteua? Peleka ndoto huko!
 
Back
Top Bottom