Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Nani kuondoka, nani kubaki na nani kuingia?

Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Nani kuondoka, nani kubaki na nani kuingia?

yule mama domo kaya kimya kidogo..
ndalichenu.
 
Kutokana na Baraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba na Januari Makamba, wata TUPWA NJE!
waje tu kwa wingi waungane na kina mtama tufue lile li ccj letu bhana!!!!!!
 
Kutokana na Baraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba na Januari Makamba, wata TUPWA NJE!
Una bifu na Makamba, hivi ni kwa nini hawa mawaziri vijana wanawanyima usingizi??
Makamba atolewe kwa lipi??
Sour grapes if you ask me!!
 
Hata wavunje baraza zima sisi hatuna habari nao.
Kutokana na Baraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba na Januari Makamba, wata TUPWA NJE!
 
Makonda basi anafanyia mazoezi uwaziri wa Upolisi maana anawaza upolisi ndio wazir wa ndanj tu
Labda kwa kuvunja katiba kama kawaida yenu lkn hiyo nafasi tena hakuna kwa sababu mlishamaliza nafasi za ute uzi lbd muu we mmoja halafu ndo mmteue huyo kipenzi chenu
 
Watanzania aisee mpo chini kiuelewa, wengi nikiwauliza kwanini Mwigulu out Makonda in watasema sababu ni madawa ya kulevya (ambapo kiukweli Makonda aliboronga) na hizi gari za police alizokarabati that's all.

Lakini hamtambui kama RC ni Regional Commander in Chief of defense and security so hayo majukumu yote yapo katika daily duties zake kwa mujibu wa sheria.

Hapo ndipo unagundua uwezo wa watanzania kujadili mambo ulivyo beyond bottom line.
 
Nchimbi na Makamba ni kama wanachoka/wamechoka kutumikia KOFIA mbili...!!

Umaarufu wao nao umeshuka..
Ni vyema wakaachia Ngazi, waje kuungana na wenzao 100% kuipigia Mayowe serikali hii (yao) inayoonekana kupwaya katika kila idara..!!
 
Kwa taarifa yako Mwigulu na January wakitupwa nje tu, Mkubwa Fulani ajiandae kurudi Geita kuchunga ng'ombe. Hao ni watoto wa mjini chamani, hawagusiki.
 
Back
Top Bottom