chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,118
Dua la kuku hilo mkuu!!!Kutokana na Maraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba na Januari Makamba, wata TUPWA NJE!
Pia kuna mabadiliko makubwa yanakuja ndani ya Chadema ambapo Mbowe na Lowasa wataachia ngazi. Ole Sosopi atatangazwa kuchukua hatamu za Mbowe. Stay tuned!Kutokana na Maraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba na Januari Makamba, wata TUPWA NJE!
Nyie kila mtu mnamuogopa na mnageuza kuwa anaogopwa na wenzake wa CHADEMA. kwani mbadiliko ya Baraza la Mawaziri ni kitu ambacho hakijfanyika chini ya Rais Magufuli?Pia kuna mabadiliko makubwa yanakuja ndani ya Chadema ambapo Mbowe na Lowasa wataachia ngazi. Ole Sosopi atatangazwa kuchukua hatamu za Mbowe. Stay tuned!