Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Kwani mabadiliko ya uongozi wa Chadema ni mwiko?Nyie kila mtu mnamuogopa na mnageuza kuwa anaogopwa na wenzake wa CHADEMA. kwani mbadiliko ya Baraza la Mawaziri ni kitu ambacho hakijfanyika chini ya Rais Magufuli?
Source itakusaidia nini humuoni aliyesema kwenye huu Uzi au?Source please
Watoke tu,output ni zero.Mwakyembe na Maghembe nao ni mizigo,wapumzishwe.Waziri wa elimu naye alianza vizuri, sijui kitu gani kimemkuta sasa hivi mm.Kutokana na Maraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba na Januari Makamba, wata TUPWA NJE!
Kama ni mtumishi wa CCM ambayo ni ile ile na anabagua afanyeje kazi atakuwa na tatizo binafsi ....Kabisa...
Mwigulu kwakweli hayupo kabisa awamu hii..
🙂🙂🙂🙂!Haina haja ya kujua watakaotupwa nje ya cabinet kwa sasa
Priority ipo kwenye kuwajua WATU WASIOJUKIKANA kwanza.
Hata 'Mwezi wa kwanza', naye yupo yupo tu.Kabisa...
Mwigulu kwakweli hayupo kabisa awamu hii..
Kwa hiyo ungetaka tufanye nini mkuu?Kutokana na Baraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba na Januari Makamba, wata TUPWA NJE!
Kwa kweli OMO hiiPia kuna mabadiliko makubwa yanakuja ndani ya Chadema ambapo Mbowe na Lowasa wataachia ngazi. Ole Sosopi atatangazwa kuchukua hatamu za Mbowe. Stay tuned!
Umeshakua jerson msigwa wewe?Kutokana na Baraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba na Januari Makamba, wata TUPWA NJE!
Ila kati ya mawaziri wa ajabu ajabu kutokea kwenye wizara hii ya mambo ya ndani miaka ya karibuni ni Mwigulu Nchemba , kwakweli nimeshindwa kumuelewa kabisa. Issue zote zinazohusu wizara yake zinakuwa handled na Makonda.Kutokana na Baraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba na Januari Makamba, wata TUPWA NJE!
Kilichomkuta ni maagizo kutoka juu, nadhani hajafungua acc tweeter angekuwa anapunguza stress kama wenzake.Watoke tu,output ni zero.Mwakyembe na Maghembe nao ni mizigo,wapumzishwe.Waziri wa elimu naye alianza vizuri, sijui kitu gani kimemkuta sasa hivi mm.
JF kuelekea ucku wa mananeeehKutokana na Baraza la Mawaziri kuwa na Mapengo kufuatia Mawaziri wengi tu kutoka na kutolewa Uwaziri, Baraza "Jipya" litatangazwa hivi karibuni. Zoezi hili lilipisha kidogo, shughuli za Vikao vya Bunge lililokwisha hivi karibuni. Habari za NDANI ni kuwa, Mawaziri kadhaa, wakiwamo Mwigulu Nchemba na Januari Makamba, wata TUPWA NJE!
Usiku wa weekend ya "Balimi extra lager, tumkaribishe mgeni wetu"JF kuelekea ucku wa mananeeeh