Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Nani kuondoka, nani kubaki na nani kuingia?

Rubbish!
 
January makamba mkuu wa Kitengo cha uchakachuaji, fitna na mbinu za hovyo CCM ni vikumu atupwe nje kwani bila yy leo hii Lowasa angekuwa ikulu, Mwigulu Nchemba yy anakwenda kuwa waziri wa Tamisemi huku Bashite a.k.a makonda akizawadiwa Ubunge na kuwa waziri wa mambo ya ndani ikiwa ni Zawadi maalum baada ya kufanya kazi kubwa Dodoma juzi juzi.
 
Bash boy anatarajiwa kulamba dume
 
Kama unajua kusoma alama za nyakati uwezekano wa kuwa tema ni mdogo sana hasa Mwigulu Nchemba.
[emoji27] [emoji27] kwann mkuu wasema hivyo mbona redio lumuli inasema mkulu wote hao hawakuwa ktk target zake kilichowaweka pale nikujitoa kwao ktk uchaguzi mkuu ulopita na nguvu ya wazee....kwa sasa mkulu keshaota pembe amini atawamwaga[emoji3]
 
Makonda basi anafanyia mazoezi uwaziri wa Upolisi maana anawaza upolisi ndio wazir wa ndanj tu
 
Msiwe na haraka, wanakaa na Bashite wapange nani atoke na nani aingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…