Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene apelekwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ndumbaro aenda Katiba na Sheria, Pindi Chana Maliasili na Utalii

Kaa chonjo kuna mabadiliko Madogo kwenye Makatibu Sehemu Tatu , alafu kwenye watendaji wa Ubalozi Mashariki Ya mbali tunabadili
Wakati wa Magufuli ulikuwa unapiga ramli zako zinagoma, mpaka ukafikia stage una edit thread zako za siku za nyuma ili kulazimisha uonekane upo jikoni, wacha utoto wako dogo kaa utulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…