Wee jamaa wa misungwi weweekilichotuponza wasukuma ni ushamba wa madaraka na kulewa vyeo,pia makuzi ya ukijijini[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee jamaa wa misungwi weweekilichotuponza wasukuma ni ushamba wa madaraka na kulewa vyeo,pia makuzi ya ukijijini[emoji23]
Muovu wako alishakufa ila bado unateseka!Woiii as long as yule muovu amekufa kwa korona chochote kitokee tu coz hakuna furaha kubwa kama ile ya kumzika muovu mkuu.
Duuu muda mwafaka wa kwenda kuuza tembo wazee, Twiga,nyat na vifaru wazee kinana Karibu Sana hao wanyama wamezaliana Sana kuja uwapunguze
Ndumbaru hakuwa na mbinu, hata kukutana na wadau wa Utalii alishindwa.Swali langu mm ni; huyo pindi chana anaweza hayo uliyosema?
WANAKULA KEKI YA TAIFAOhoo Kinana effect tayari ili wakauze pembe za ndovu vizuri.
Huyo Pindi Chana ni Kikwete team kindaki ndaki.
Ndio amepewa Sasa, ili afanye muone kama anaweza au la.Swali langu mm ni; huyo pindi chana anaweza hayo uliyosema?
Una maana yule mnyama alietaka leta ajari KIA alikuwa anatoroshwa akaruka toka kwenye ndege?Ohoo Kinana effect tayari ili wakauze pembe za ndovu vizuri.
Huyo Pindi Chana ni Kikwete team kindaki ndaki.