Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene apelekwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ndumbaro aenda Katiba na Sheria, Pindi Chana Maliasili na Utalii

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene apelekwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ndumbaro aenda Katiba na Sheria, Pindi Chana Maliasili na Utalii

Ohoo Kinana effect tayari ili wakauze pembe za ndovu vizuri. Huyo Pindi Chana ni Kikwete team kindaki ndaki.
FB_IMG_16307140795615105.jpg
 
Hadi sasa bado kuna mawaziri na watendaji wa Serikali wanataka kusimamiwa ndipo wajitume kufanya kazi??!!!
 
Karudi Membe sasa anangojewa Emmanuel Nchimbi aingizwe serikalini na hapo ndio mtajua kuwa mtawala wa nchi ni mjomba wa Msoga!! Au bado mnabisha?

Pindi Chana kapelekwa kule kwenye Twiga na Pembe za ndovu ili wakakamilishe ujangili; wauza madawa ya kulevya wanatolewa jela kishikaji, huyu Mama hata haelewi kitu gani kinaendelea hajui hata KUWA kuna viongozi wa nchi wanaondolewa kwasababu ya mfumuko wa bei yeye anaelezea mfumuko wa bei nchini kimzaha mzaha tu!
Zimwi likujualo halikuli likakumaliza,

Heri ya shetani umjuaye kuliko malaika usiyemfahamu.

Wacha waibe lkn tuishi kwa Uhuru na amani, kuliko risasi na mauaji ya watu ambayo yalishaanza kushamiri kipindi Cha mwenda zake.

Mama anaupiga mwingi
 
Mafisadi yana nafuu?
 
Back
Top Bottom