Hahami Mmasai kwanguvu.Na kuhakikisha wamasai wanahama.
Bora tu waishe. Yani Tembo anagharamikiwa na kuhudumiwa kuliko Mtanzania.Masikini Tembo wetu 🙆♂️
Kinana ni swahiba wa Lowasa, wamasai hawahami tena.Na kuhakikisha wamasai wanahama.
Mkuu, kuna member mmoja friji lake haligandishi hadi ameamua akufungulie uzi kwa hizi tabiri zako zinazo ishi...🤣🤣Kaa chonjo kuna mabadiliko Madogo kwenye Makatibu Sehemu Tatu , alafu kwenye watendaji wa Ubalozi Mashariki Ya mbali tunabadili
Naona wamasai wajiandae kuhama nchi kabisa..sio ngorongo tu.Kaa chonjo kuna mabadiliko Madogo kwenye Makatibu Sehemu Tatu , alafu kwenye watendaji wa Ubalozi Mashariki Ya mbali tunabadili
Si awamu ya nne ilikebehiwa kwa kuitwa ni watu wa dili na awamu ya mwendazake. Sasa zamani hizo za kejeri na kebehi zimekwisha pita.
HahahaMkuu, kuna member mmoja friji lake haligandishi hadi ameamua akufungulie uzi kwa hizi tabiri zako zinazo ishi...🤣🤣