Mabadiliko CCM: Nani kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana kurejea kama Makamu Mwenyekiti

Status
Not open for further replies.
Salaam Wakuu,

Inadaiwa Daniel Chongolo anatemwa Ukatibu Mkuu CCM!

Kinana aandaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, hana Mpinzani

Vyanzo ndani ya CCM vinadokeza kuwa fukuto linaendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na ndugu Daniel Chongolo amekalia kuti kavu.

Chanzo kinabainisha kuwa wanaodaiwa kumrithi Chongolo ni kati ya ndugu Sixtus Mapunda na Glorious Luoga.

Nini kimemponza Chongolo? Anakwama wapi?

Uongozi ni kupokezana kijiti, nani anafaa kuchukua nafasi ya Ukatibu Mkuu wa CCM?

Chongolo atarudishiwa Ukuu wa Wilaya au atarudi Kijijini kulima Matango?

Pia soma Kwanini Katibu Mkuu wa CCM amekosa kabisa ushawishi Kwa jamiii? Je, CCM wana mgomo baridi dhidi yake?
Kinana kwa sasa ni bwenyenye mwenye maslahi mengi ya kibiashara. Ingekua mimi wala nisingekubali cheo hicho. Itakua ni conflict of interest wakati wote. Hii ndio ilifanya watofautiane na magufuli. Isitoshe kinana saa hizi ni umri wa kua kwenye kustaafu atakuja pata ugonjwa wa moyo bure maana tutamuandama kama wataendelea na unafiki wao ndani ya ccm.
Ccm kama chama cha kijamaa kwenye ngazi ya juu hivyo inahitaji wenye uchungu na wavuja jasho kuongoza.
 
Daaa kweli kabisa kuna kitu hakipo sawa kwa KM CCM
 
Salaam Wakuu,

Inadaiwa Daniel Chongolo anatemwa Ukatibu Mkuu CCM!

Kinana aandaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, hana Mpinzani

Vyanzo ndani ya CCM vinadokeza kuwa fukuto linaendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na ndugu Daniel Chongolo amekalia kuti kavu.

Chanzo kinabainisha kuwa wanaodaiwa kumrithi Chongolo ni kati ya ndugu Sixtus Mapunda na Glorious Luoga.

Nini kimemponza Chongolo? Anakwama wapi?

Uongozi ni kupokezana kijiti, nani anafaa kuchukua nafasi ya Ukatibu Mkuu wa CCM?

Chongolo atarudishiwa Ukuu wa Wilaya au atarudi Kijijini kulima Matango?

Pia soma Kwanini Katibu Mkuu wa CCM amekosa kabisa ushawishi Kwa jamiii? Je, CCM wana mgomo baridi dhidi yake?

Nyie Machogo fanyeni yenu ila Utendaji wa Chama kamwe hautaenda tena nje ya mstatiri. Kama hujanifahamu kunywa haruhwa
 
Hizo ndio habari zinazo trend kwenye korido za Makao makuu ya CCM.

Kama itakuwa hivyo ni jambo jema

Screenshot_20220330-100535.png
 
Salaam Wakuu,

Inadaiwa Daniel Chongolo anatemwa Ukatibu Mkuu CCM!

Kinana aandaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, hana Mpinzani

Vyanzo ndani ya CCM vinadokeza kuwa fukuto linaendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na ndugu Daniel Chongolo amekalia kuti kavu.

Chanzo kinabainisha kuwa wanaodaiwa kumrithi Chongolo ni kati ya ndugu Sixtus Mapunda na Glorious Luoga.

Nini kimemponza Chongolo? Anakwama wapi?

Uongozi ni kupokezana kijiti, nani anafaa kuchukua nafasi ya Ukatibu Mkuu wa CCM?

Chongolo atarudishiwa Ukuu wa Wilaya au atarudi Kijijini kulima Matango?

Pia soma Kwanini Katibu Mkuu wa CCM amekosa kabisa ushawishi Kwa jamiii? Je, CCM wana mgomo baridi dhidi yake?
Aondoke tu hakuna namna
 
Slaa,katibu mkuu CCM
 
Polepole alikuwa anafaa sana hicho chama sasa yupo Malawi basi Makonda atawafaa hapo.
 
Kwamba kulima matang, anyway nasubiri more comments
We zezeta nikikumbukaga comments zako wakat wa sakata la Ndugai, ulivyokuwa eti unatoa vitisho kuwa Ndugai hawezi kujiuzulu, Nchi haitokalika!,😎 Haya Leo kikowapi??? Boss wako anauguza saratan ya Koo India
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom