Mabadiliko: Hamis Kigwangwala aanza kuzungumza lugha ya Wananchi

Naona hata 'Nepy' kuna siku atakayoamka na kuibuka na vimaneno, na yeye tutaanza kumpa sifa zake!

Watu kama huyu hapa, kweli naye ni wa hata kumtaja tu kwa lolote la maana?
 
Hata majira na nyakati hawazisomi mbona mambo yapo hadharani ningekuwa mimi nakaa kimya namalizia masalia ya asali na kuendelea kuyatunza maana yajayo ni karaha tupu
 
Ni kwa sababu hana tonge mdoni ukifika mda akameza tonge hutamsikia akiongea hii lugha
 
chadema ndio chawa namba moja nchi hii ni hatari sana sijawahi kuona walah
 
Mnafiki.....

Huyo tunamjua toka akiwa Muhimbili.....

Hovyoooo

#SiempreJMT[emoji120]
 
Wakiwa nje ya mfumo huwa zinawarudi.. Wakiingia zinawakimbia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…