Naona hata 'Nepy' kuna siku atakayoamka na kuibuka na vimaneno, na yeye tutaanza kumpa sifa zake!Katika hali ya kushangaza , Waziri wa zamani wa Utalii Hamis Kigwangwala amejitokeza hadharani kutaka jamii iwapime viongozi kwa utendaji badala ya Uchawa . Tunampongeza sana Mh huyu kwa kuliona jambo hili .
Bali wengi tunajiuliza , maono haya ya Kigwangwala yanatoka moyoni kweli au ni kwa vile mfumo umemtenga ?
View attachment 2755007
Watu kama huyu hapa, kweli naye ni wa hata kumtaja tu kwa lolote la maana?