Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Kwa hyo mkuu wa wilaya alitolewa jeshini, akapewa a political post, kisha amerudishwa jeshine with high range military post aendelee kutumika kama mtumishi wa jeshi?

Mtu akidema jeshi letu lishakua compromised na wanasiasa bado watu wanapinga.

Nchi masikini haziendelei kwa sababu nyingi sana.
Huo utaratibu kote duniani upo
 
Wewe ulitakaje labda ?
Ebu tupe ushauri wako,siku zote na duniani kote katika mabara yote mkuu wa nchi(Rais) ndo mkuu wa majeshi na ndiye anawapandisha vyeo maafisa wote wa jeshi
Ni vizuri muwe mnafanya tafiti kabla hamjapotosha humu Canada amiri jeshi mkuu ni tofauti kabisa na kiongozi wa nchi/serikali Yaani madaraka yote ya kiserikali yapo kwa waziri mkuu ila Governor general ambaye ndio mwakilishi wa malkia Canada amepewa nguvu juu ya majeshi sasa unaposema nchi zote una maana gani
 
Kanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
huwezi kijeshi duniani kote Aide de Camp ni first class in second command officers. ....kundi la kwanza la juu la maafisa ni magenerali na kundi la pili la maafisa wa juu ni kanali,L kanali na major hivo katika hilo kundi la pili mtu mwenye cheo cha kanali ndio kijeshi huwa anapaswa kuwa ADC duniani kote ipo hivo
 
Duh! Mkuu! Hilo halihitaji hata kuuliza. Chulia scenario hii; Rais, yaani Amiri Jeshi Mkuu, akiamua kubadilishana mawazo/kuongea na makamanda wa vikosi (mabrigedia and above) wewe umebeba mikoba yake tena kimya wala huruhusiwi kutia neno wakati makamanda wakitoa options kwa Amiri Jeshi Mkuu.

Kwa scenario hiyo ndogo common sense tu inaonesha ni ipi nyadhifa kubwa. Cheo cha kijeshi kikishakuwa na neno "General" hiyo ni level nyingine Mkuu - Brigadier General; Major General; Lieutenant General; and General ambao kimsingi wanastahili za kuwa na wapambe pia na diplomatic passports kama sijakosea.

Makanali ndio kazi zao kuwa wapambe wa viongozi na sio majenerali; kama iliwahi kutokea ni kwa bahati mbaya sana.
Mkuu
Tupo Pamoja Jeshi Ni Habari Nyingine Kabisa
Mkuu Tuwe Wavumilivu Vyeo Vipo Vingi
 
Kanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
brigedier general ni mtu mzto sana jeshin anaongoza briged awez kuwa mpambe ni one star guard commender
 
Kabla ya huyu Mkeremi JK alikuwa na Brig Gen Kimaro ndio akamaliza nae akaendelea na JPM
hamna akuwa brigedier alikuwa kanali [emoji2] [emoji2] [emoji2] Brigedier general ni mtu mkubwaaa sana kijeshi tunamuita one star guard commender.... kimaro alikua kanali akiwa ADC. ..dunian kote first high army officers hawawezi kuwa wapambe wa kiongozi. .....
 
Kwa hyo mkuu wa wilaya alitolewa jeshini, akapewa a political post, kisha amerudishwa jeshine with high range military post aendelee kutumika kama mtumishi wa jeshi?

Mtu akidema jeshi letu lishakua compromised na wanasiasa bado watu wanapinga.

Nchi masikini haziendelei kwa sababu nyingi sana.
Walioteua wanaakili na wanajua wapi anafiti kwa maslahi ya taifa usiyoyajua ,but ukilaza wako utahoji usiyojua
 
Mwambata ni nini?
Mwambata (Attache') ni afisa mwenye fani mahususi (sio afisa wa wizara ya mambo ya nje) anaefanya kazi katika ofisi za ubalozi wa nchi yake.
Kwa mfano. Mwambata wa jeshi, Uhamiaji, Usalama wa Taifa nk.
 
Ni vizuri muwe mnafanya tafiti kabla hamjapotosha humu Canada amiri jeshi mkuu ni tofauti kabisa na kiongozi wa nchi/serikali Yaani madaraka yote ya kiserikali yapo kwa waziri mkuu ila Governor general ambaye ndio mwakilishi wa malkia Canada amepewa nguvu juu ya majeshi sasa unaposema nchi zote una maana gani
Kwani nani ni head of state wa Canada? Kabla hujamkosoa mwenzako na wewe fanya uchunguzi kwanza
 
Mkuu mkuu wa wilaya simu cheo cha kisiasa ni cheo cha kiserikali.
Mkuu wa willaya anamuakulisha rais katika wilaya husika.HAMUWAKILISHI MWENYEKITI WA CHAMA BALI RAIS.
Bali ni Lazima awe kada mtiifu wa ccm!! Hicho ndicho kigezo number moja!
 
Kanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
Cheo cha mwisho kuwa ADC huwa ni kanari
 
Kanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
No, hairuhusiwi. Brig Gen mwenyewe anastahili kupewa ADC wake. Kwa hiyo rais akiwa na ADC wa cheo hicho watalazimika kuwepo ADC wawili, mmoja wa rais na mwingine wa huyo ADC wa rais.
 
hamna akuwa brigedier alikuwa kanali [emoji2] [emoji2] [emoji2] Brigedier general ni mtu mkubwaaa sana kijeshi tunamuita one star guard commender.... kimaro alikua kanali akiwa ADC. ..dunian kote first high army officers hawawezi kuwa wapambe wa kiongozi. .....
Nakumbuka hili jambo liliwahi kuzua mjadala hapa jf wakati Brigedia Kimaro alipopandishwa cheo kutoka kanali na bado kwa kipindi fulani aliendelea kuwa ADC wa rais. Lakini haikuchukua muda na kama sikosei baada ya sherehe za Muungano mwaka 2014 alibadilishwa.
 
a hili jambo liliwahi kuzua mjadala hapa jf wakati Brigedia Kimaro alipopandishwa cheo kutoka kanali na bado kwa kipindi fulani aliendelea kuwa ADC wa rais. Lakini haikuchukua muda na kama sikosei baada ya sherehe za Muungano mwaka 2014 alibadilishwa
Kwa hiyo kusimama hapo nyuma tu pia unapewa cheo?
 
Kanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
No, Afisa wa Rank ya General hawezi kuwa ADC. Afisa wa rank ya Kanali tu ndo anaweza kuwa ADC
 
Kwa hiyo kusimama hapo nyuma tu pia unapewa cheo?
Kupanda cheo kunatokana na kutumikia muda fulani kwenye cheo cha awali pamoja na kuongeza mafunnzo ya uafisa.

Mkeremi ameshatumikia cheo cha kanali kwa muda mrefu so inabidi apandishwe cheo ndio maana amepandishwa.
 
Back
Top Bottom