Brigadier anapewa mpambe na mlinzi wakati adc hana chochote
Halafu elewa yule sio mlinzi ,rais analindwa na Tiss ..yule ni msaidizi wa rais
Saizi ADC mkelemi anaendeshwa,analindwa na anapewa mpambe ..
Brigadier wanafanya mkutano na rais huku adc akiwa anabeba mafaili tu na kupeleka peleka hana say
Yaani unasema bado unaamini adc mbeba maboksi ,viatu ni kazi nyeti kuliko brigadier generali ase una matatizo ,brigadier ana plot mapinduzi
Kimadaraka,kicheo brigadier mtu mkubwa sana kuliko mbeba mwamvuli ,faili wa rais ..saizi mkelemi ana heshima