Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Kanali mkelemi sio tena ADC wa mukulu,anakuja kanali mwingine" sawa, kwani ukiwa brigedia general huwezi kuwa ADC wa presidar?
Wanaofahamu mambo ya inteligencia watujuze
cc. Brother GENTAMYCINE,na wengineo
Dalili zinaonyesha kuwa anaandaliwa kumrithi Mabeyo iwe kwa Mabeyo mwenyewe kujuwa au kwa kutojuwa kama kukitokea mabadiliko yoyote katika utawala Mh Magufuli!.
 
Taratibu boss! Kuna cheo na kuna madaraka! OCD anaweza kuwa na nyota 1 lakini inspector wa wilaya hiyo hiyo anaweza kuwa nyota 2!

Bado naamini kazi ya kuwa mlinzi wa rais (japo inafahamika kama Mpambe) ni kazi nyeti kuliko ya Brigadier!

Brigedia ni nafasi nyeti zaidi ya mpambe wa Raisi. Brigedia ni mtu anayeoongoza vikosi kadhaa vya jeshi. Ndo maana ana ulinzi mkali mpaka nyumbani kwake. Brigedia nae anatembea na mpambe. Mpambe wa Raisi si mlinzi, Raisi pia analindwa na kikosi cha jeshi kinachoitwa State dog hao huwezi kuwaona kirahisi ila anzisha timbwili la kijeshi kwenye msafara wa Raisi utakiona cha moto. Pia kuna kikosi cha jeshi cha intelijensia nacho kinamlinda Raisi. Hivyo vikosi vyote vina wakuu wake na hao wakuu bado ni wadogo sana kwa Brigedia. Brigedia hata akistaafu analindwa mpaka kufa kwake
 
Dalili zinaonyesha kuwa anaandaliwa kumrithi Mabeyo iwe kwa Mabeyo mwenyewe kujuwa au kwa kutojuwa kama kukitokea mabadiliko yoyote katika utawala Mh Magufuli!.
Hapana
Luten General aliyepo na aliyepanda Jana
Ndio wajao baada ya Gen kumaliza utumishi

Si mbali sana

Cc BAK
 
Nimemwomba Mh. Rais....
Nimemwomba Mh. Rais.....
Nimemwomba Mh. Rais....
Kwani hawezi kufanya teuzi bila kumwomba Huyo...?
Inaonekana hujui Rais ni mtu wa namna gani ktk nchi.mapenzi yenu ya uvyama vya siasa yamewageuza mmekua kama punguani.hujui nini maana ya amili jeshi mkuu?pole

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Hapana mkuu simfananishi na koplo ila kwa uelewa wangu ni kwamba kuna junior COs na senior Officers, huyo bwana katoka junior officer. Kwa hiyo Codes za senior officer zinamzuia kuwa bodyguard.
Wapi atapata fedha zaidi, kwenye u-body guard au huko atakapopelekwa?
 
Brigedia ni nafasi nyeti zaidi ya mpambe wa Raisi. Brigedia ni mtu anayeoongoza vikosi kadhaa vya jeshi. Ndo maana ana ulinzi mkali mpaka nyumbani kwake. Brigedia nae anatembea na mpambe. Mpambe wa Raisi si mlinzi, Raisi pia analindwa na kikosi cha jeshi kinachoitwa State dog hao huwezi kuwaona kirahisi ila anzisha timbwili la kijeshi kwenye msafara wa Raisi utakiona cha moto. Pia kuna kikosi cha jeshi cha intelijensia nacho kinamlinda Raisi. Hivyo vikosi vyote vina wakuu wake na hao wakuu bado ni wadogo sana kwa Brigedia. Brigedia hata akistaafu analindwa mpaka kufa kwake
Hayo yote yanafahamika! Bado hujagusa unyeti na umuhimu wa mpambe wa rais (Kumbuka naye hulindwa).
 
Brigadier anapewa mpambe na mlinzi wakati adc hana chochote

Halafu elewa yule sio mlinzi ,rais analindwa na Tiss ..yule ni msaidizi wa rais

Saizi ADC mkelemi anaendeshwa,analindwa na anapewa mpambe ..

Brigadier wanafanya mkutano na rais huku adc akiwa anabeba mafaili tu na kupeleka peleka hana say

Yaani unasema bado unaamini adc mbeba maboksi ,viatu ni kazi nyeti kuliko brigadier generali ase una matatizo ,brigadier ana plot mapinduzi

Kimadaraka,kicheo brigadier mtu mkubwa sana kuliko mbeba mwamvuli ,faili wa rais ..saizi mkelemi ana heshima
Labda jamaa afahamishe hivi ataelewa; BRIGADIER ni mkuu wa BRIGADE. Sasa akatafute maana ya brigade ndio atajua kazi nzito ya brigadier.
 
Replica Kitu kimoja sikipendi kuhusu General Mabeyo, anafanya shughuli za jeshi kwenye macho ya public.

Kuwapandisha vyeo watu, generals wa nyuma kina Mwamnyange, Mboma, Waitara etc hawakuwa wanatangaza tangaza 'laivu' kwenda kwenda ikulu sijui wapi. Ni unakuta tu kuwa taarifa magazetini fulani kapandishwa cheo na rais, basi! Hamna mbwembwe.
 
Ukielewa kuanzia unwritten constitution utaelewa kuwa jamaa yuko sahihi, kwa maana waziri mkuu nkuwa ni kiongozi wa serikali (queen anabaki kuwa ceremonial)
Head of state ni queen na ndie mwenyewe commander in chief. Mambo msimkosoe mtu muwe mnaelewa.
Jamaa anakosoa wenzake wakati hajajiaandaa na kuufahamu zaidi mfumo wa Monarch. Kajaribu kudhalilisha wenzake wakati hata hajui nini alichokielezea. Ni kama magufuli kumtuma Maiga UN kuhutubia baraza la usalama hovyo huwezi kusema magufuli ni mkuu wa nchi lakini mahiga ni mhusika kwenye UN. Hatari sana kukurupuka katika jukwaa kama hili
 
Back
Top Bottom