Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

Mwambata (Attache') ni afisa mwenye fani mahususi (sio afisa wa wizara ya mambo ya nje) anaefanya kazi katika ofisi za ubalozi wa nchi yake.
Kwa mfano. Mwambata wa jeshi, Uhamiaji, Usalama wa Taifa nk.
Wangesema simpo ni maSPY wa Tanzania kwenye izo nchi mbona inajulikanaga sana...hata America na Russia si walifukuziana MaSPY eti mwambata izo lugha za BAKITA izo
 
Waziri mkuu ndio head of state ila amiri jeshi mkuu ni governor general.... Kma australia tu waziri mkuu ndio top wa nchi ila amiri jeshi mkuu ni governor general anayeteuliwa na malkia wa uingereza!! Msikariri
We ndo umekaririshwa...
Unajua tofauti ya head of state na head of government??
Kwa hapa Tanzania unajua head of state na head of government watu wawili tofauti japo mmoja anajifanya ni head of both?
 
Kila cheo jeshini kinakua na majukumu yake mfano afisa mteule (Non-commisioned officer NCO) ndo hua anakua RSM (kiongozi wa nidhamu jeshini-kwa maafisa wadogo).
ikitokea akapewa kamisheni na kua afisa hawezi kuendelea na cheo hicho.
hujo Mkelemi hawezi kuendelea kuwa bodyguard kwa sababu amekua afisa wa juu. afisa wa juu hawezi kuwa body guard.
yule
sio bodygurd mkuu ni ADC..mpambe wa rais.msaidizi wake binafsi..
 
Taratibu boss! Kuna cheo na kuna madaraka! OCD anaweza kuwa na nyota 1 lakini inspector wa wilaya hiyo hiyo anaweza kuwa nyota 2!

Bado naamini kazi ya kuwa mlinzi wa rais (japo inafahamika kama Mpambe) ni kazi nyeti kuliko ya Brigadier!
Kwa logic yako, pia Unamaanisha kua mfano RPC ni SACP ....inspector wa Mkoa huo anaweza kua DCP??
Au tuseme RPC ni ACP .. basi RCO awe SACP inawezekana eti?
 
Hata hivyo huyo mpambe aloondaka hajaenjoi kabisa huu utawala Maana kusafiri kwenyewe shida tu.... Marupurupu kayamisi sana ya JK enzi hizo.......
 
Brigadier kimsingi anaongoza brigedi au kikosi-jeshi or equivalent na sio kuwa mpambe wa kiongozi. Mtu mzito sana huyo.
Sasa kuongoza briged na kuongozana na rais kokote anakoenda iwe ndani ya nchi na nje kupi kunalipa na kukufanya popular? Ingekuwa mtu anachagua, jamaa angechagua kubaki na president. Kuna kazi nyingine bora uwe na cheo kidogo zinalipa zaidi kuliko cheo kikubwa. Kuwa kwa mfano dereva wa rais au PM, VP nk kunalipa na kukupa heshima zaidi kuliko hata ubosi katika ofisi kazi kuandika andika, kusaini na kugonga mihuri wakati wenzako wanachanja mbuga na maposho kibao!
 
Back
Top Bottom