njujujr
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 684
- 468
unaujua taratibu za jeshi au umekalili tu raisi anapelekewa majina na yy analidhia mtuliege msivyovijuadah awamu ya vurugu mechi "ZINDUA" , "TEUA","TUMBUA" tutafika 2025 tumechoka kweli kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaujua taratibu za jeshi au umekalili tu raisi anapelekewa majina na yy analidhia mtuliege msivyovijuadah awamu ya vurugu mechi "ZINDUA" , "TEUA","TUMBUA" tutafika 2025 tumechoka kweli kweli!
Hivi kwake ni wapi?CDF naye anafanyia teuzi zake IKULU? TBC walikuwa live kutoka ikulu
Wangesema simpo ni maSPY wa Tanzania kwenye izo nchi mbona inajulikanaga sana...hata America na Russia si walifukuziana MaSPY eti mwambata izo lugha za BAKITA izoMwambata (Attache') ni afisa mwenye fani mahususi (sio afisa wa wizara ya mambo ya nje) anaefanya kazi katika ofisi za ubalozi wa nchi yake.
Kwa mfano. Mwambata wa jeshi, Uhamiaji, Usalama wa Taifa nk.
Ivi shule mlienda kufanya nn?Kwani nani ni head of state wa Canada? Kabla hujamkosoa mwenzako na wewe fanya uchunguzi kwanza
inaonekana imekuumaNimemwomba Mh. Rais....
Nimemwomba Mh. Rais.....
Nimemwomba Mh. Rais....
Kwani hawezi kufanya teuzi bila kumwomba Huyo...?
Unafikiri kujambiwa jambiwa mchezo? Izo nuksi mkuu lazima ulipwe kamisheni kwa kupandishwaKwa hiyo kusimama hapo nyuma tu pia unapewa cheo?
ulitakaje ww mbona hasara kwa taifa unakalia majungu tuHii ndo hasara ya kulink jeshi na siasa
huna unalojua delisious wwTEUA - TENGUA - TUMBUA - TEUA - TEUA - TUMBUA.
We ndo umekaririshwa...Waziri mkuu ndio head of state ila amiri jeshi mkuu ni governor general.... Kma australia tu waziri mkuu ndio top wa nchi ila amiri jeshi mkuu ni governor general anayeteuliwa na malkia wa uingereza!! Msikariri
yuleKila cheo jeshini kinakua na majukumu yake mfano afisa mteule (Non-commisioned officer NCO) ndo hua anakua RSM (kiongozi wa nidhamu jeshini-kwa maafisa wadogo).
ikitokea akapewa kamisheni na kua afisa hawezi kuendelea na cheo hicho.
hujo Mkelemi hawezi kuendelea kuwa bodyguard kwa sababu amekua afisa wa juu. afisa wa juu hawezi kuwa body guard.
Kwa logic yako, pia Unamaanisha kua mfano RPC ni SACP ....inspector wa Mkoa huo anaweza kua DCP??Taratibu boss! Kuna cheo na kuna madaraka! OCD anaweza kuwa na nyota 1 lakini inspector wa wilaya hiyo hiyo anaweza kuwa nyota 2!
Bado naamini kazi ya kuwa mlinzi wa rais (japo inafahamika kama Mpambe) ni kazi nyeti kuliko ya Brigadier!
Ucha ubishi wa kishamba unaharibu theadKwa makaratasi tu cheo cha heshima ila madaraka yote yapo kwa mawaziri wakuu
Malkia ana mamlaka mawili tu ila waziri mkuu anayo zaidi ya 100 sasa nani ndio kiongozi wa dola ???
Come on!!
yule
sio bodygurd mkuu ni ADC..mpambe wa rais.msaidizi wake binafsi..
Sasa kuongoza briged na kuongozana na rais kokote anakoenda iwe ndani ya nchi na nje kupi kunalipa na kukufanya popular? Ingekuwa mtu anachagua, jamaa angechagua kubaki na president. Kuna kazi nyingine bora uwe na cheo kidogo zinalipa zaidi kuliko cheo kikubwa. Kuwa kwa mfano dereva wa rais au PM, VP nk kunalipa na kukupa heshima zaidi kuliko hata ubosi katika ofisi kazi kuandika andika, kusaini na kugonga mihuri wakati wenzako wanachanja mbuga na maposho kibao!Brigadier kimsingi anaongoza brigedi au kikosi-jeshi or equivalent na sio kuwa mpambe wa kiongozi. Mtu mzito sana huyo.
Ila ni kazi ngumu kwakweli, sio maisha yale japo anapata hela nyingiWadau kwahiyo mlitaka afande Mkelemi aendelee kuwa ADC! Mungu anawaona jaman khaaaa. Ile kazi iskieni tu jaman muoneeen huruma mwenzenu akapumzike
Unastahili kupimwa mkojo[emoji23] [emoji13]Unafikiri kujambiwa jambiwa mchezo? Izo nuksi mkuu lazima ulipwe kamisheni kwa kupandishwa
Haiwezekani, achana na bangi za huyo jamaaKwa logic yako, pia Unamaanisha kua mfano RPC ni SACP ....inspector wa Mkoa huo anaweza kua DCP??
Au tuseme RPC ni ACP .. basi RCO awe SACP inawezekana eti?