Mabadiliko makubwa yaja! Mzee wa Shelui jiandae

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Sijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee

Ila sasa kosa kubwa litalofanyika ni kumuweka Mzee wa tarakea kwenye hii nafasi nafasi hili ni kosa kubwa mno aisee kwani hamna watu wengine wakuwekwa hapo zaidi ya huyo Mzee wa tarakea? Aisee haya bwana mie napita tu.
 
Sijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee...
Prof Mkenda ni mchumi pia ni moja ya vichwa vya maana sana tulivyonavyo Bungeni. Akiwa pale atasaidia

Kwangu nilimtegemea zaidi Dr. Charles Kimei as masuala ya Fedha yanategemea sana rekodi ya utendaji ya mtu husika kwenye masuala ya Fedha.

Kimei alipoitoa Benki ya Kilimo hadi kuifanya CRDB ilivyo hadi anachukua Nsekela kwangu ndiye anastahili zaidi
 
Kimei ni kimeo hakuna mtu mle pale CRDB alizunguka na vichwa sana kina DK Kalugendo

USSR
 
Prof Mkenda ni mchumi pia ni moja ya vichwa vya maana sana tulivyonavyo Bungeni. Akiwa pale atasaidia

Kwangu nilimtegemea zaidi Dr. Charles Kimei as masuala ya Fedha yanategemea sana rekodi ya utendaji ya mtu husika kwenye masuala ya Fedha.

Kimei alipoitoa Benki ya Kilimo hadi kuifanya CRDB ilivyo hadi anachukua Nsekela kwangu ndiye anastahili zaidi
Duh.....hapo awekwe Mzanzibar

Watanganyika na Hazina ni Sawa Fisi na Bucha 🐼
 
Sijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee

Ila sasa kosa kubwa litalofanyika ni kumuweka Mzee wa tarakea kwenye hii nafasi nafasi hili ni kosa kubwa mno aisee kwani hamna watu wengine wakuwekwa hapo zaidi ya huyo Mzee wa tarakea? Aisee haya bwana mie napita tu.
Tukwite Yahaya au?
 
Back
Top Bottom