Mabadiliko makubwa yaja! Mzee wa Shelui jiandae

Mabadiliko makubwa yaja! Mzee wa Shelui jiandae

Prof Mkenda ni mchumi pia ni moja ya vichwa vya maana sana tulivyonavyo Bungeni. Akiwa pale atasaidia

Kwangu nilimtegemea zaidi Dr. Charles Kimei as masuala ya Fedha yanategemea sana rekodi ya utendaji ya mtu husika kwenye masuala ya Fedha.

Kimei alipoitoa Benki ya Kilimo hadi kuifanya CRDB ilivyo hadi anachukua Nsekela kwangu ndiye anastahili zaidi
Sisi tunachapa kazi, shida wizi na upendeleo wa ukabila
 
Prof Mkenda ni mchumi pia ni moja ya vichwa vya maana sana tulivyonavyo Bungeni. Akiwa pale atasaidia

Kwangu nilimtegemea zaidi Dr. Charles Kimei as masuala ya Fedha yanategemea sana rekodi ya utendaji ya mtu husika kwenye masuala ya Fedha.

Kimei alipoitoa Benki ya Kilimo hadi kuifanya CRDB ilivyo hadi anachukua Nsekela kwangu ndiye anastahili zaidi
Ametumikia wizara tatu mpaka sasa tangu aingie bungeni hebu tuoneshe notable achievements alizofanya kwenye hizo wizara
 
Ametumikia wizara tatu mpaka sasa tangu aingie bungeni hebu tuoneshe notable achievements alizofanya kwenye hizo wizara
Labda kwavile huko Bungeni hakuna watakao linagnishwa naye ila kusema ukweli huyu hajaonyesha umahiri nilioutegemea kwake...

Kama tunataka nchi uendelee basi tuanze kuwa strategic katika kuandaa watu Ili waje kufanya maendeleo. Bila strategies nchi yetu itaishia kuokoteza na kuweka watu wale wale ambao wameshindwa kuonyesha output za maana
 
Sijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee

Ila sasa kosa kubwa litalofanyika ni kumuweka Mzee wa tarakea kwenye hii nafasi nafasi hili ni kosa kubwa mno aisee kwani hamna watu wengine wakuwekwa hapo zaidi ya huyo Mzee wa tarakea? Aisee haya bwana mie napita tu.
Hivi kosa lake hasa ninini?sababu humu kilasiku tunamsema vibaya.Naomba melezo
 
Back
Top Bottom