Mabadiliko makubwa yaja! Mzee wa Shelui jiandae

Sijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee

Ila sasa kosa kubwa litalofanyika ni kumuweka Mzee wa tarakea kwenye hii nafasi nafasi hili ni kosa kubwa mno aisee kwani hamna watu wengine wakuwekwa hapo zaidi ya huyo Mzee wa tarakea? Aisee haya bwana mie napita tu.

Lameki Madelu mzee wa maokoto....
 
Kwani britanicca anasema???
 
Prof Mkenda ni mchumi pia ni moja ya vichwa vya maana sana tulivyonavyo Bungeni. Akiwa pale atasaidia

Kwangu nilimtegemea zaidi Dr. Charles Kimei as masuala ya Fedha yanategemea sana rekodi ya utendaji ya mtu husika kwenye masuala ya Fedha.

Kimei alipoitoa Benki ya Kilimo hadi kuifanya CRDB ilivyo hadi anachukua Nsekela kwangu ndiye anastahili zaidi
Hao wote wakishaingizwa tu ccm weledi wote unaojua unaondoka
 
Prof Mkenda ni mchumi pia ni moja ya vichwa vya maana sana tulivyonavyo Bungeni. Akiwa pale atasaidia

Kwangu nilimtegemea zaidi Dr. Charles Kimei as masuala ya Fedha yanategemea sana rekodi ya utendaji ya mtu husika kwenye masuala ya Fedha.

Kimei alipoitoa Benki ya Kilimo hadi kuifanya CRDB ilivyo hadi anachukua Nsekela kwangu ndiye anastahili zaidi
Shida ni mawazo na utaalam huwa unasikilizwa na mwenye nchi? maana kama watendaji wazuri wengi sana walishakuwepo na wengi waliishia kuonekana vituko na mwisho na wao waliamua kufanya yao.
 
Back
Top Bottom