Mabadiliko: Taasisi za Kidini sasa Kusajiliwa kila baada ya Miaka 5 kwa Malipo ya Tsh 100,000

Ni sahihi kabisa. nafikiri haya makanisa yanatakiwa kusajiliwa kama kampuni(private company limited by guarantee) yanatakiwa kuonyesho mapato na matumizi. Na pesa zote wanazolipana au kujilipa lazima zikatwe kodi ya serikali. huwezi toka tu huko na kuanza kukusanya pesa za watu.
 
Mambo ya Imani ni magumu sana..
Hata nchi zilizoendelea wanaregulate taasisi za dini kwa kiwango kikubwa sana,lakini bado wapo kondoo watiifu watakaofanya chochote atakacho Kiongozi wao...
Hata hivyo itasaidia kupunguza baafhi ya "wababaishaji"..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Dini zote itabidi zisajiliwe upya na cheti cha Usajili kitakuwa cha miaka 5 tu kisha Dini zisajiliwe upya. Masharti Mengine ni pamoja na kupeleka kwa msajili ripoti ya mapato na matumizi ya pesa za sadaka kwa kipindi cha miaka mitano nyuma.
Watakaoshindwa kutoa ripoti hizo kwa kigezo pesa wamenunua ndege binafsi au magari na majumba watafutiwa Usajili.

JE DINI YAKO ITAPITA VIGEZO NA MASHARTI YA SERIKALI?

Au tutashuhudia makanisa mengi kwenda underground waabudu bila Usajili? Unaona Serikali wangefanya nini badala ya kuja na masharti Makali? Ukisema ni kwa sababu rais ni muislamu, utaambiwa hata misikiti itapaswa kufuata
hayo hayo.

IFUATAYO NI TAARIFA RASMI YA SERIKALI.ISOME KWA MAKINI
UELEWE

.Serikali imefanya mabadiliko ya usajili wa taasisi za kidini na Jumuiya mbalimbali kutoka kuwa wa kudumu na kuwa wa muda. Katika mabadiliko hayo taasisi zote za dini zilizosajiliwa (yakiwemo makanisa) zitalazimika kuhuisha (renew) usajili wake kila baada ya miaka mitano. Taarifaya serikali ya mwaka 2020 inaonesha jumla ya taasisi za kidini zilizosajiliwa nchini ni 36,000 zikihusisha Makanisa, Misikiti na jumuiya zake.

Ofisi ya Msajili wa taasisi za kidini na Jumuiya za kijamii imetoa taarifa ya kuanza uhakiki wa Jumuiya hizo kuanzia August 24 hadi November 30 katika mikoa mbalimbali, na kila taasisi itatakiwa kulipa TZS 100,000/= ya uhakiki. Hivyo basi serikali inatarajia kukusanya 3.6Bilioni ikiwa taaisi zote zitafanya uhakiki.

Miongoni mwa matakwa ya uhakiki ni taarifa ya fedha pamoja na taarifa ya mabadiliko ya uongozi katika taasisi na jumuiya hizo. Taasisi itakayoshindwa kukamilisha uhakiki kwa kipindi kilichowekwa itafutwa.

Yamekuwepo maoni kinzani kuhusu mabadiliko haya, baadhi wakiunga mkono na wengine wakipinga.Mmoja wa wanahabari wakongwe nchini amesema "Kuna makanisa tangu yameanzishwa hayajawahi kubadilishwa uongozi. Askofu ni huyohuoyo tangu mtoto anazaliwa hadi anaoa au kuolewa. Wala taarifa za fedha za kanisa hazipo wazi kwa waumini wake wao wanatoa tu na hawatakiwi kuhoji matumizi, kwahiyo ni muhimu serikali kufuatilia

"Mchungaji Alex Mwaipaja amesema "sidhani kama ni sahihi serikali kudhibiti imani za watu. Kanisa halipo kwenye nyaraka za serikali. Tukikaa nyumbani na familia na kumuabudu Mungu katika roho na kweli hilo ni kanisa hata kama hatuna usajili. Halafu kwanini serikali inakerwa na wingi wa makanisa, haikerwi na wingi wa bar au guest house?"Nini maoni yako? Unadhani ni sahihi serikali kufanya uhakiki wa taasisi za kidini? Je ni sahihi kupewa usajili wa miaka mitano badala ya usajili wa kudumu kama ilivyokua awali? Unaonaje Taasisi kutakiwa kufanya mabadiliko ya uongozi badala ya kuwa na kiongozi mmoja kwa muda mrefu? Ikiwa baadhi ya taasisi zitafutiwa usajili, je mabadiliko haya yataathiri imani za watu kwa kiasi gani?View attachment 1889966
Dini zote ni utapeli tu.....zingekuwa za ukweli kusingekuwa na msheikh wafugao majini kwa ajili ya chuma ulete na watu kama kina Gwajima watombao wake wa waumini wao na kuwachota akili waumin hao hao ili wawatumie kwa kuwatapeli. Hakuna Mungu anayeruhusu ujinga kama huu. Tapeli T.B. Joshua alikuwa anakataza waumini wake wakiumwa wasitibiwe hospitali, yeye kapatwa na corona kapelekwa na kufia hospitali.
 
Dini zote itabidi zisajiliwe upya na cheti cha Usajili kitakuwa cha miaka 5 tu kisha Dini zisajiliwe upya. Masharti Mengine ni pamoja na kupeleka kwa msajili ripoti ya mapato na matumizi ya pesa za sadaka kwa kipindi cha miaka mitano nyuma.
Watakaoshindwa kutoa ripoti hizo kwa kigezo pesa wamenunua ndege binafsi au magari na majumba watafutiwa Usajili.

JE DINI YAKO ITAPITA VIGEZO NA MASHARTI YA SERIKALI?

Au tutashuhudia makanisa mengi kwenda underground waabudu bila Usajili? Unaona Serikali wangefanya nini badala ya kuja na masharti Makali? Ukisema ni kwa sababu rais ni muislamu, utaambiwa hata misikiti itapaswa kufuata
hayo hayo.

IFUATAYO NI TAARIFA RASMI YA SERIKALI.ISOME KWA MAKINI
UELEWE

.Serikali imefanya mabadiliko ya usajili wa taasisi za kidini na Jumuiya mbalimbali kutoka kuwa wa kudumu na kuwa wa muda. Katika mabadiliko hayo taasisi zote za dini zilizosajiliwa (yakiwemo makanisa) zitalazimika kuhuisha (renew) usajili wake kila baada ya miaka mitano. Taarifaya serikali ya mwaka 2020 inaonesha jumla ya taasisi za kidini zilizosajiliwa nchini ni 36,000 zikihusisha Makanisa, Misikiti na jumuiya zake.

Ofisi ya Msajili wa taasisi za kidini na Jumuiya za kijamii imetoa taarifa ya kuanza uhakiki wa Jumuiya hizo kuanzia August 24 hadi November 30 katika mikoa mbalimbali, na kila taasisi itatakiwa kulipa TZS 100,000/= ya uhakiki. Hivyo basi serikali inatarajia kukusanya 3.6Bilioni ikiwa taaisi zote zitafanya uhakiki.

Miongoni mwa matakwa ya uhakiki ni taarifa ya fedha pamoja na taarifa ya mabadiliko ya uongozi katika taasisi na jumuiya hizo. Taasisi itakayoshindwa kukamilisha uhakiki kwa kipindi kilichowekwa itafutwa.

Yamekuwepo maoni kinzani kuhusu mabadiliko haya, baadhi wakiunga mkono na wengine wakipinga.Mmoja wa wanahabari wakongwe nchini amesema "Kuna makanisa tangu yameanzishwa hayajawahi kubadilishwa uongozi. Askofu ni huyohuoyo tangu mtoto anazaliwa hadi anaoa au kuolewa. Wala taarifa za fedha za kanisa hazipo wazi kwa waumini wake wao wanatoa tu na hawatakiwi kuhoji matumizi, kwahiyo ni muhimu serikali kufuatilia

"Mchungaji Alex Mwaipaja amesema "sidhani kama ni sahihi serikali kudhibiti imani za watu. Kanisa halipo kwenye nyaraka za serikali. Tukikaa nyumbani na familia na kumuabudu Mungu katika roho na kweli hilo ni kanisa hata kama hatuna usajili. Halafu kwanini serikali inakerwa na wingi wa makanisa, haikerwi na wingi wa bar au guest house?"Nini maoni yako? Unadhani ni sahihi serikali kufanya uhakiki wa taasisi za kidini? Je ni sahihi kupewa usajili wa miaka mitano badala ya usajili wa kudumu kama ilivyokua awali? Unaonaje Taasisi kutakiwa kufanya mabadiliko ya uongozi badala ya kuwa na kiongozi mmoja kwa muda mrefu? Ikiwa baadhi ya taasisi zitafutiwa usajili, je mabadiliko haya yataathiri imani za watu kwa kiasi gani?View attachment 1889966
Sosi sosi sosi piliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizi
 
Hapa umechemka!Kama Jambo hulijui Ni bora ukakaa kimya kuliko kuandika utumbo WAKO Huku Jamii Forum.T.B.JOSHUA HAJAWAHI HATA SIKU MOJA KUKATAZA MUUMINI YEYOTE KWENDA KUTIBIWA HOSPITAL.Kwanza ilikuwa "Kama huna Chetu Cha Dactari kuthibitisha ugonjwa wako,T.B.JODHUA alikuwa hakuombei".Procedure kwa T.B.JOSHUA Ni kwamba Ni Lazima uje na Chetu Cha Dactari kuthibitisha kuwa unaumwa,Ili atakapokuombea na kupona,uende Tena Hospital ukapimwe na ujirithishe mwenyewe na Dactari wako kuwa umepona.T.B.JOSHUA mwenyewe Mara kwa Mara alikuwa akiwasisitizia waamini wake kwamba"If you can not believe God in medicine,You can never believe him without medicine",Because our God he is a God of Nature.Kwa Hiyo uwe Makini na unachokiandika.
 
Back
Top Bottom