Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwa hiyo siyo chanzo za mapato? kwanini wasisajili free?Hiyo ni ada ya Taasisi si ya mtu binafsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo siyo chanzo za mapato? kwanini wasisajili free?Hiyo ni ada ya Taasisi si ya mtu binafsi
Vita dhidi ya taasisi zinazomhusu Mungu ni kubwa kuliko ya ule upande pendwa wa ibilisi. Endeleeni na mapambano. Njia ile ni nyembamba iendayo uzimani !!!Ni Jambo jema maana pia waliokuwa hawajasajiliwa watakuwa ni wengi sana, pia viwango vya nyumba za ibada viwekwe siyo mchana ibada na usiku bar, mabango na utambulisho wa eneo uwe ni lazima.
Sio kweli.Wamebuni namna mpya ya kuongeza mapato, makanisa yanageuzwa kuwa leseni za udereva.
Ukiondoa Ibada za mikesha, tuseme mtumishi fulani kwenye kanisa fulani akiamua kuwa anaendesha Ibada zingine za ziada za usiku kuanzia saa mbili uisku na kuendelea, BRELA lazima watamfungia. Ni kwa sababu mtumishi huyu atakuwa anaendesha Ibada kinyume na utaratibu unaoruhusiwa kisheria na mamlaka zilizosajili taasisi yake.Ibada sio lazima ziwe na ratiba rasmi. Huwezi kuwapangia watu muda na namna ya kuwasiliana na Muumba wao.Ratiba ni za wanasiasa.
Wewe tulia serikali ya Sasa hawaelewi taasisi za dini Ni kitu ganiSafi