Mabadiliko: Taasisi za Kidini sasa Kusajiliwa kila baada ya Miaka 5 kwa Malipo ya Tsh 100,000

Ni sahihi kabisa. nafikiri haya makanisa yanatakiwa kusajiliwa kama kampuni(private company limited by guarantee) yanatakiwa kuonyesho mapato na matumizi. Na pesa zote wanazolipana au kujilipa lazima zikatwe kodi ya serikali. huwezi toka tu huko na kuanza kukusanya pesa za watu.
 
Mambo ya Imani ni magumu sana..
Hata nchi zilizoendelea wanaregulate taasisi za dini kwa kiwango kikubwa sana,lakini bado wapo kondoo watiifu watakaofanya chochote atakacho Kiongozi wao...
Hata hivyo itasaidia kupunguza baafhi ya "wababaishaji"..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Dini zote ni utapeli tu.....zingekuwa za ukweli kusingekuwa na msheikh wafugao majini kwa ajili ya chuma ulete na watu kama kina Gwajima watombao wake wa waumini wao na kuwachota akili waumin hao hao ili wawatumie kwa kuwatapeli. Hakuna Mungu anayeruhusu ujinga kama huu. Tapeli T.B. Joshua alikuwa anakataza waumini wake wakiumwa wasitibiwe hospitali, yeye kapatwa na corona kapelekwa na kufia hospitali.
 
Sosi sosi sosi piliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizi
 
Hapa umechemka!Kama Jambo hulijui Ni bora ukakaa kimya kuliko kuandika utumbo WAKO Huku Jamii Forum.T.B.JOSHUA HAJAWAHI HATA SIKU MOJA KUKATAZA MUUMINI YEYOTE KWENDA KUTIBIWA HOSPITAL.Kwanza ilikuwa "Kama huna Chetu Cha Dactari kuthibitisha ugonjwa wako,T.B.JODHUA alikuwa hakuombei".Procedure kwa T.B.JOSHUA Ni kwamba Ni Lazima uje na Chetu Cha Dactari kuthibitisha kuwa unaumwa,Ili atakapokuombea na kupona,uende Tena Hospital ukapimwe na ujirithishe mwenyewe na Dactari wako kuwa umepona.T.B.JOSHUA mwenyewe Mara kwa Mara alikuwa akiwasisitizia waamini wake kwamba"If you can not believe God in medicine,You can never believe him without medicine",Because our God he is a God of Nature.Kwa Hiyo uwe Makini na unachokiandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…