Tetesi: Mabadiliko/Uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa Yaja

Huyu rais hapendi kuwa pre emptied akisoma uzi wako hata kama alikuwa na hiyo nia anaacha...hataki mitandao imuendeshe[emoji23][emoji23]
Spot on [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Ila atakuwa ametibuliwa kinoma. Humo ikulu hapatakalika. Wataminywa hadi waseme nani kavujisha hii taarifa.
 
Hee kumbe wewe ndio rais. Nilidhani ni Magufuli. Naona umeshawahamisha tayari
 
Natamani yule bwana Wa atapatikana kabla ya jpili ahamishiwe kibiti pwani...
 
Ungeishia kusema mabadiliko bila kutaja taja Vitu na nani anaenda wapi ungeeleweka. Umeharibu ulipojifanya kuanza kuwapanga na maeneo yao wanakokwenda. Hii tayari ni uongo. Kati ya uliowataja naamini magufuli hayupo tayari kuendelea nao kwani anawajua ni wala rushwa wasio na tija kwenye serikali yake.

Time will tell.
 
Mwanza hata kama akiharibu aibu ya mtawala kwa wazazi na Wakwe. Maana ndio mshauri wake piaa na ni Mzee wake wa nyumbani....awamu hii ni yao atamvumilia tuuu!!!! Wa Mwanza hawezi kutolewa!!!!!!!!! Usione yupo yupo tu kwa maslahi mapana sanaa.....!!!
Umemsahau wa Mwanza ataondoka au??
 
Ukishasema ndio kabisaa hata kama alikua mpango hafanyi tena
 
Huyu rais hapendi kuwa pre emptied akisoma uzi wako hata kama alikuwa na hiyo nia anaacha...hataki mitandao imuendeshe[emoji23][emoji23]
Utajuaje mkuu,labda mleta uzi ni msiri wa Bashite na kafanya makusudi kuvujisha hii tetesi kum-pre-empty Ngosha ili aendelee 'kuchapa kazi' .
Mtu ambaye anaweza watumia walinzi wa rais kwa shughuli binafsi kupata siri ya nini rais anataka kufanya ni rahisi sana,so obvious jamaa ana watu wake ambao wanampa ratiba na mipango ya rais kabla ili kama mipango hiyo ina madhara kwake ana strike/strategies mapema.
 
Kila mtu anafikilia maslahi yake tu,muacheni rais apige kazi,hizo safu mnazopanga yeye wala hafikirii hivyo
 
makonda akihama Dar msije humu kulalamikia Panya Road na uvamizi wa maeneo ya wazi mnyamaze kabisa.
 
Jamani jana nimeshuhudia mwenyewe ,Bashite analindwa kuliko hata mawaziri.Nilimkuta mahali jana kwenye maduka ya GSM jamani ndani tu ya duka kulikuwa na walinzi vijana wamavaa kiraia kama wawil mmoja alivaa shati ya strips.Chini kwenye parking niliona kama watatu na mmoja alivaa red karibu na walipopaki landcruser nyeusi aliyokuja nayo.Mengine siendelei nikajiuliza hivi wakuu wengine wa mikoa wanaulinzi kama huu! Jamani nisiendelee kwani naweza kupotezwa na mimi sina hata ulinzi jamani mimi nina Mungu tu.
 
Most likely
 
Haya mabadiriko mmeyafanya nyinyi.....mkulu anayajua?
 
Huyu si alipambana na wauza unga......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…