linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,724
- 4,381
Ngojani cocochoko aje kututhibitishia ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo GSM nasikia huwa anabeba vitu tu wala halipi.Jamani jana nimeshuhudia mwenyewe ,Bashite analindwa kuliko hata mawaziri.Nilimkuta mahali jana kwenye maduka ya GSM jamani ndani tu ya duka kulikuwa na walinzi vijana wamavaa kiraia kama wawil mmoja alivaa shati ya strips.Chini kwenye parking niliona kama watatu na mmoja alivaa red karibu na walipopaki landcruser nyeusi aliyokuja nayo.Mengine siendelei nikajiuliza hivi wakuu wengine wa mikoa wanaulinzi kama huu! Jamani nisiendelee kwani naweza kupotezwa na mimi sina hata ulinzi jamani mimi nina Mungu tu.
Kama vile naona anapewa Ukurugenzi wa Idara fulaniUmemsahau wa Mwanza ataondoka au??
Nasikia amegusa vya watu huko.Umemsahau wa Mwanza ataondoka au??
Forget it....Nimeguswa sana na maono yako. Nasubiri pale Mh Rais atakapofanya mabadiliko nione kama kutakuwa na 100 % mapping! Tunamuomba Mwenyezi Mungu atupe uhai tuone!!
Wewe ndio umewaharibia wenzako hata kama kweli ilitakiwa kuwa hivyoWana Jamvi, mabadiliko na uahamisho wa baadhi wa wakuu wa mikoa yamo mbioni. Hii inatokana na kile Paskali anachokiita TREND READING. Kuna shinikizo kubwa la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutoka Jiji hilo.Kuna ripoti inasubiriwa ya Kamati ya maadili ya Bunge na kesi ilofunguliwa dhidi yake. Kuna uwezekano AKAHAMISHIWA Simiyu. Dar es Salaam atakuja Mkuu wa sasa wa Arusha, wa Tanga akaenda Arusha, wa Simiyu akaenda Tanga. Katika zoezi hili Mkuu wa Mkoa wa Njombe ATAONDOKA, wa Singida ATARUDI Njombe. Mkuu wa wilaya Iringa atapanda na kuwa RC Singida...
Isije kuwa kuna watu wamejipanga kum preempty ili wasiguswe. Si wameshamsomaHuyu rais hapendi kuwa pre emptied akisoma uzi wako hata kama alikuwa na hiyo nia anaacha...hataki mitandao imuendeshe[emoji23][emoji23]
AMeambiwa achape kazi sawa... Kwani aliyesema hayo si ndo huyo huyo alisema UPINZANI hawatakuwemo kwenye Serikali yake? AU Kitila kahamia CCM?Wa Dar ameambiwa achape kazi.