Raisi afanye mabadiliko tu maana kuna ma RC weshakuwa wazee zaidi ya miaka 65 wapumzike waingie vijana. Wapo wengine wana kashfa za kula hela ya korosho kupitia shemeji zao na kudai korosho ya mamilioni imeibwa japo pesa imeingia kwenye account za shemeji yake. Nasikia huyu anaroga sana mkulu hamuwezi.